
FISTON MAYELE AIPELEKA PYRAMIDS FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
FISTON Mayele mshambuliaji wa Pyramids ambaye aliwahi kucheza ndani ya Klabu ya Yanga inayoshiriki Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika alifunga mabao mawili kati ya matatu kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali dhidi ya Orlando Pirates Ushindi huo wa Aprili 25 2025 unaifanya Pyramids ya Misri kutinga hatua ya Fainali…