SIMBA HESABU FAINALI, KUANZIA UGENINI

MOHAMED Hussen Zimbwe Jr nahodha wa Simba amewaomba Watanzania waendelee kuwaombe kuelekea kwenye mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika. Ni Mei 17 2025 wanatarajiwa kuwa ugenini nchini Morocco kumenyana na RS Berkane na Mei 25 2025 watakuwa Dar kwenye fainali ya pili itakayoamua mshindi wa jumla atakayetwaa taji hilo. Simba SC inayonolewa…

Read More

AZAM FC YAMALIZA MWENDO MUUNGANO CUP

JKU SC imewaondoa vigogo wawili katika Muungano Cup 2025 ambao wapo ndani ya nne bora Ligi Kuu Tanzania Bara. Walianza na Singida Black Stars katika hatua ya robo fainali Aprili 24 ilikuwa JKU SC 2-2 Singida Black Stars katika penalti ilikuwa JKU SC 6-5 Singida Black Stars. Aprili 28 2025, Azam FC waliumaliza mwendo kwa…

Read More

AZAM FC KWENYE DAKIKA 90 ZA KAZI GOMBANI

MATAJIRI wa Dar, Azam FC leo Aprili 28 2025 wanatarajiwa kuwa kazini kwenye mchezo wa nusu fainali Muungano Cup, visiwani Zanzibar katika dakika 90 za kazi kusaka tiketi yakutinga hatua ya fainali. Azam FC itakuwa Uwanja wa Gombani, Pemba, leo Jumatatu saa 1.15 usiku kuvaana na JKU ambayo iliwafungashia virago Singida Black Stars hatua ya…

Read More

LIVA MABINGWA WAPYA EPL

Liverpool ni Mabingwa wapya wa Ligi Kuu England msimu wa 2024/25 kufuatia ushindi mnono wa 5-1 dhidi ya Tottenham Hotspur katika dimba la Anfield. Majogoo wametwaa ubingwa huo wa 20 kihistoria kwenye Ligi Kuu England zikiwa zimesalia mechi nne Ligi hiyo kufikia ukomo wakifikisha pointi 82 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote. FT: Liverpool 5-1…

Read More

SHINDA SIMU MPYA ZA KISASA NA MERIDIANBET!

Meridianbet inazidi kuwapa wateja wake burudani ya kipekee! Sasa unayo nafasi ya kipekee ya kuondoka na moja kati ya Samsung A25 mpya kabisa (5x) kupitia promosheni ya kusisimua: Jisajili, Weka Amana, Cheza na Ushinde! Ni rahisi kushiriki: 👉 Jisajili kwenye Meridianbet. 👉 Weka amana kwenye akaunti yako. 👉 Cheza Kasino au kubashiri Michezo yoyote. Kila…

Read More

HII HAPA RATIBA YA PREMIER LEAGUE

NI Jumamosi ya kazikazi Aprili 26 2025 kuna mechi kali ambazo zinatarajiwa kuchezwa ndani ya Premier League kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Miongoni mwa timu hizo ikiwa ni wiki ya 34 ni Chelsea ambayo ipo nafasi ya sita kwenye msimamo ikiwa imekusanya pointi 57 itakuwa kazini kumenyana na Everton iliyo nafasi ya…

Read More

SERIKALI INA MATUMAINI KWA SIMBA SC KIMATAIFA

NAIBU Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma amebainisha kuwa ana matumaini ya kuona Simba SC inapatata matokeo mazuri kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Afrika Kusini, Aprili 27 2025. Simba SC inakumbuka kwamba mchezo uliochezwa Tanzania ilipata ushindi wa bao 1-0 likifungwa na Jean Ahoua inakibarua cha kusaka ushindi wa…

Read More