
YANGA SC NI 10 KWA MNYAMA
VINARA wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika, Yanga SC tofauti yao kwenye pointi na Simba SC ni pointi 10. Ikumbukwe kwamba wababe hawa wawili hawajakutana mzunguko wa pili baada ya mchezo wao kuyeyuka Machi 8 2025 unatarajiwa kupangiwa tarehe na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Sababu ambazo zilisababisha…