
HB SADEC PROMOTION ATOBOA KUHUSU MWAKINYO NA TWAHA KIDUKU
HB Sadec promotio atoboa siri kuhusu pambano la Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku
HB Sadec promotio atoboa siri kuhusu pambano la Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku
USHINDI wa mabao 5-1 ambao wameupata Simba SC kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Pamba Jiji, Mei 8 2025 unawafanya wakamilishe dakika 270 katika mechi tatu za viporo kuvuna pointi tatu mazima kwenye mechi zao. Mchezo wa kwanza wa kiporo kwa Simba SC ilikuwa Mei 2 2025, ubao wa Uwanja wa KMC Complex ulisoma Simba…
Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina michezo mingi sana, kuna michezo ya sloti kama vile Deuces Wild Poker moja kati ya sloti bomba na rahisi kukusanya maokoto. Na huu ni mchezo wa karata unaokupa nafasi kubwa ya ushindi. Jinsi ya Kucheza Sloti ya Deuces Wild Poker? Wala hauna ugumu wowote kuucheza mchezo huu, sloti ya…
Wapenzi wa michezo ya slot, Meridianbet inawaletea mchezo mpya wenye mandhari ya kifalsafa na kihistoria: Gates of Olimpia – kazi ya kipekee kutoka kwa wabunifu maarufu wa michezo ya kasino, Expanse Studios. Katika mchezo huu, wachezaji wanaalikwa kuingia kwenye ulimwengu wa hadithi za Kigiriki, ambapo kila mzunguko wa slot unaweza kufungua milango ya zawadi kubwa…
Meridianbet inakwambia hivi leo hii kwenye mechi za Europa na Conference unaweza ukawa na bahati ya kutusua kibabe kwani mechi hizi zina machaguo zaidi ya 1000, hivyo ingia na ubeti sasa. Tukianza na Conference League hapo baadae ACF Fiorentina baada ya kupigika mechi ya kwanza, leo hii watakuwa nyumbani kutaka kupindua meza dhidi ya Real…
SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imetangaza kuipatia klabu ya Simba ndege itakayoipeleka timu hiyo Morocco kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya Morocco itakayopigwa Mei 17, 2025. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba…
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Miloud Hamdi wapo kwenye maandalizi kuelekea mchezo wa mzunguko wa pili dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Mei 13 2025. Yanga SC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 70 baada ya kucheza mechi 26 ni ushindi kwenye mechi 23 wakiambulia sare…
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa taarifa iliyotolewa na watani zao wa jadi Yanga SC kueleza kuwa kuna timu inayopendelewa kama wangetajwa wangelivaa suala hilo huku wakiwaomba wawe wawazi kutaja timu ambayo inapendelewa kwani watani hao wa jadi wametupa jiwe gizani.
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa kwa namna yoyote ile utawazuia Simba SC kuvuna pointi tatu kwenye mchezo wa mzunguko wa pili unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. Ikumbukwe kwamba awali mchezo huo unaotarajiwa kuchezwa Mei 11 2025 ulipangwa kuchezwa Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora na maandalizi yalianza kufanyika. Umerejeshwa Dar, Uwanja wa KMC…
OFISA Habari wa JKT Tanzania, Masua Bwire amesema kuwa watapambana kwenye mashindano yote ambayo wanashiriki kupata matokeo mazuri ikiwa ni pamoja na mchezo wao wa CRDB Federation Cup wakiwa hatua ya nusu fainali. JKT Tanzania kwenye CRDB Federation Cup imetinga hatua ya nusu fainali na inatarajiwa kusaka tiketi ya kutinga hatua ya fainali dhidi ya…
Paris Saint-Germain (PSG) wamefuzu kwa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UCL) baada ya kuwatoa Arsenal kwa jumla ya mabao 3-1 katika hatua ya nusu fainali. PSG walishinda mechi ya kwanza 1-0 ugenini, kisha wakamaliza kazi kwa ushindi wa 2-1 nyumbani kwenye Parc des Princes. PSG sasa watakutana na Inter Milan katika fainali itakayofanyika Jumamosi,…
Kupitia Meridianbet utakutana na mchezo wa kasino ya mtandaoni unaoelezea kisa cha Farao aliyelaaniwa kwa matendo yake, unachopaswa kufanya ni kuwa mkali kwa kucheza vizuri ni njia sahihi kukupa ushindi mkubwa. Jisajili Meridianbet ufurahie mchezo huu. The Cursed King ni mchezo wa kasino ya mtandaoni yenye nguzo tano zna mistari 19 ya malipo. Ili kupata…
Kipute cha ligi ya Mabingwa barani Ulaya kuendelea leo ambapo Paris Saint German itawakaribisha Arsenal katika dimba la Parc des Princes nchini Ufaransa kucheza mchezo wa mkondo wa pili baada ya ule wa kwanza uliochezwa April 29 katika dimba la Emirates kumalizika kwa PSG kupata ushindi wa goli moja lililofungwa na Ousemane Dembele Dakika ya…
Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma, amepongeza uongozi wa Rais mstaafu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodgar Tenga, akisema kuwa ametoa mchango mkubwa katika kuendeleza michezo nchini na kwamba ni kiongozi wa kuigwa. Akizungumza wakati wa mjadala wa bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 ya Wizara…
BENCHI la ufundi la Simba SC limebainisha kuwa litacheza mchezo wao dhidi ya Pamba Jiji Uwanja wa KMC Complex kama fainali ili kuvuna pointi tatu. Kwenye msimamo ni nafasi ya pili ikiwa na pointi 63 baada ya mechi 24 inatarajiwa kuwakaribisha Pamba Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu, Fred Felix Mei 8 2025 kwenye msako wa…
Fred Felix Kocha Mkuu wa Pamba Jiji ameweka wazi kuwa wanatambua ugumu wa mchezo wao dhidi ya Simba SC ila wana imani kuwa hawatashuka daraja. Ni mechi 26 imeshuka uwanjani Pamba Jiji ina pointi 27 ikiwa nafasi ya 13 katika msimamo ambayo ni nafasi yakucheza play off ikiwa itasalia hapo mpaka mzunguko wa pili ukigota…
LIGI Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora inaendelea ambapo kuna vigogo vinatarajiwa kupigwa uwanjani ndani ya Mei kwa wababe kuwa uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Simba SC itakuwa uwanjani Mei 8 2025 kusaka pointi tatu dhidi ya Pamba Jiji mchezo unoatarajiwa kuchezwa Uwanja wa KMC Complex. KMC vs Simba SC, Mei 11…