SINGIDA BLACK STARS KUZINDUA UWANJA KUKIPIGA NA YANGA

Klabu ya Singida Black Stars itazindua uwanja wake mpya wa ’AIRTEL STADIUM’ Machi 24, 2025. Uwanja huo utazinduliwa kwa mechi ya kirafiki katibya Singida Black stars dhidi ya Yanga SC. Kwenye taarifa yao, Singida wamesema kuwa uwanja huo umejengwa kwa viwango vya kimataifa na unatarajiwa kuwa kitovu cha mashindano makubwa ya kitaifa na kimataifa. Je,…

Read More

GAMONDI ATUMA UJUMBE HUU JKT TANZANIA

LICHA ya kwamba mchezo wa mwisho kabla ya JKT Tanzania kushuka daraja na Yanga kukomba pointi tatu bado mabingwa hao watetezi wameweka wazi kuwa wanawaheshimu wapinzani hao. Kwenye mchezo wa mwisho kukutana na Yanga ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga na mabao yalifungwa na Yacouba Songne na Tuisila Kisinda. Kesho Agosti 29 Yanga wanatarajiwa kumenyana…

Read More

YANGA WAREJEA DAR NA POINTI ZA KUTOSHA

VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea salama Dar baada ya kutoka kusaka pointi sita ugenini. Walianza mbele ya Coastal Union mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani  Tanga na ubao ukasoma Coastal Union 0-2 Yanga. Mabao ya Fiston Mayele na Said Ntibanzokiza yalitosha kuipa pointi tatu mazima Yanga. Kituo kilichofuata ilikuwa mbele ya Polisi Tanzania, Januari…

Read More

DUBE AMEWEKA REKODI HII BONGO

MSHAMBULIAJI wa kikosi cha Yanga Prince Dube aeweka rekodi yake ya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga hat trick kwenye ligi akifungua akaunti yake ya mabao akiwa na uzi wa Yanga baada ya kusajiliwa na timu hiyo akitokea Azam FC. Ipo wazi kwamba Dube ni mchezaji wa kwanza msimu wa 2024/25 kufunga hat trick ndani ya…

Read More

ATEBA AMEANZA KAZI NA ZALI, MANULA MOTO

MSHAMBULIAJI mpya wa Simba, Leonal Ateba ameanza kazi na zali la kufunga bao moja kwenye mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal ya Sudan. Ateba alikosekana kwenye mechi zilizopita kwa kuwa alikuwa hajapata vibali vya kazi kwa mujibu wa Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed Ally rasmi Agosti 31 alipata…

Read More

MAYELE ANA BALAA NA NYAVU HUYO

FISTON Mayele amefikisha jumla ya mabao 50 katika mashindano yote akiwa na kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Timu hiyo yenye maskani yake pale Jangwani inadhamiwa na kampuni ya SportPesa ambayo imeleta mapinduzi makubwa kwenye suala la michezo Bongo kwa kufungua njia kwa wadhamini wengine kuingia kuwekeza kwenye michezo. Ikumbukwe kwamba Mayele…

Read More

KIPA WA KAZI AREJEA YANGA

KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…

Read More

HAALAND AWEKA REKODI PREMIER

ERLING Haaland mshambuliaji wa Manchester City wakati timu yake ikishinda mabao 3-0 dhidi ya Wolves ugenini ameandika rekodi nyingine tena. Ni bao la Jack Grealish dakika ya kwanza kisha likapachikwa bao na Haaland mwenyewe dakika ya 16 na lile la tatu ilikuwa ni kazi ya Phil Foden dakika ya 69. Nyota huyo anaweka rekodi ya…

Read More