MILIONI 10 ZA MAMA KUIBUKIA AFL

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa zawadi ya Tsh. 10 milioni kwa kila bao ambalo litafungwa na Simba. Huo ni mchezo wa African Football League ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Oktoba 20,2023. Samia ameahidi kuwa kwa bao moja ambalo litafungwa katika mchezo wa African Football League dhidi ya…

Read More

WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA SIO KINYONGE

KLABU ya Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ina kibarua cha kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa. Ni katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga itakuwa na kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania. Katika hatua ya awali Yanga inatarajiwa kumenyana na Association Sportive d’Ali Sabieh Djibouti Télécom ambayo haipo kinyonge uwanjani. Wapinzani wa…

Read More

MWAMBA HUYU HAPA MFUNGAJI WA BAO LA KWANZA SIMBA

LIKUMBUKE hili jina la Michael Joseph nyota wa kikosi cha Simba kutoka timu B anakuwa wa kwanza kufunga bao ndani ya timu hiyo kwa mwaka 2023. Ni kwenye Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda imevuliwa mazima ubingwa wao. Kwenye mchezo wa kwanza ubao ulisoma Simba 1-0 Mlandege jambo lililoyeyusha…

Read More

YANGA IJAYO BALAA ZITO

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa msimu ujao kikosi hicho kitakuwa ni balaa kutokana na maboresho ambayo yatafanyika kwenye kila idara. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa ligi wakiwa na pointi 80 baada ya kucheza mechi 30 huku mfungaji bora akiwa ni Aziz KI mwenye mabao 21 akifuatiwa na Feisal Salum mwenye mabao 19…

Read More

MUDA HAUSUBIRI KAZI LAZIMA IENDELEE

MUDA hausubiri na kila mmoja anapambana kusaka ushindi kwenye mechi ambazo anacheza hilo ni jambo la muhimu kwa kila timu. Wachezaji wanajituma na kufanya kazi kubwa kwenye kusaka ushindi na wapo ambao wamekuwa wakionyesha uwezo mkubwa ndani ya uwanja. Kila timu ina kazi kusaka ushindi ikiwa ni kwenye mechi za lala salama kwa sasa kutokana…

Read More

BOSI SIMBA,YANGA WAITWA KAMATI YA MAADILI TFF

OFISA Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Barbara Gonzalez atafikishwa mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutoa ushahidi wa shutuma anazodaiwa kuzitoa wakati akihojiwa na Kituo cha Radio  nchini Afrika Kusini hivi karibuni. Katika taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza kuwa, Klabu ya Yanga iliwasilisha malalamiko yao kwa TFF dhidi ya…

Read More

RUDIGER APELEKWA MAN U

BEKI wa zamani wa Manchester United Paul Parker anaamini kama beki wa Chelsea, Antonio Rudiger angetua kikosini hapo basi huenda angekuwa msaada mkubwa. Nyota huyo kuelekea Januari mwakani atakuwa huru kuzungumza na timu yoyote ambayo itakuwa inahitaji huduma yake. Mkataba wake ndani ya Chelsea kwa sasa upo ukingoni kumeguka na mabosi wa timu hiyo nao…

Read More

TANZANIA YAFUNZU KOMBE LA DUNIA

TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya miaka 17, Serengeti Girls leo Juni 5,2022 imeweza kukata tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia kwa ushindi wa bao 1-0 Cameroon. Mchezo wa leo uliochezwa Uwanja wa Amaan,Zanzibar ulikuwa ni wa marudio baada ya ule wa kwanza ugenini Tanzania kushinda mabao 4-1. Cameroon walikuja leo kwa mpango wa…

Read More

DARASA LA YANGA KIMATAIFA NI KWA WOTE

KASI ya Yanga kwenye mashindano ya kimataifa ni darasa huru kwa kila mmoja apate kujifunza namna ya kutumia bahati na nafasi inayotokea. Hakuna timu ambayo haipendi kupiga hatua kila siku na kuandika rekodi mpya na nzuri hilo lipo wazi hivyo kwa sasa mfano bora wa kuzungumzia kwenye kizazi cha sasa ni Yanga. Mfumo ambao wameutumia…

Read More