
NGAO YA JAMII IWE MWANZO WA MAANDALIZI KITAIFA NA KIMATAIFA
TUMESHUHUDIA namna maendeleo kwenye sekta ya soka la Wanawake Tanzania namna yanavyopiga hatua kila iitwapo leo. Kwa wakati huu ni Simba Queens walitangazwa kuwa mabingwa wa Ngao ya Jamii Wanawake kwenye fainali iliyohusisha timu nne pale Uwanja wa Azam Complex. JKT Queens wanakuwa washindi wa pili huku Yanga Princess wao wakiwa ni washindi wa tatu…