
DR CONGO WAIDUWAZA MISRI AFCON
TIMU ya taifa ya DR Congo iliyokuwa kundi F na timu ya taifa ya Tanzania imekata tiketi ya kutinga hatua ya robo fainali Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON). Ilikuwa katikà 16 bora dhidi ya Misri ya Mohamed Salah ambaye kagotea hatua hiyo na mpango wa kutinga nusu fainali umeyeyuka mazima. Wababe hao walitinga hatua ya…