
AMELETA MGOMO HUKO KIUNGO LUIS
KIUNGO wa Simba Luis ambaye kiwango chake kimeporomoka kutokana na kutocheza kwa muda mrefu inaelezwa kuwa yupo kwenye mpango wa kuwekwa kando. Inatajwa kwamba Simba mpango wao ni kumtoa kwa mkopo kwenye moja ya timu ambazo zinashiriki Ligi Kuu Bara