
FEI TOTO KASI YAKE YAONGEZEKA, AZAM YAPETA
KIUNGO mzawa mali ya Azam FC Feisal Salum MWENYE jumla ya mabao 11 katika orodha ya watupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara anazidi kuonyesha ubora wake kwa vitendo uwanjani. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Machi 3 2024 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Azam FC 4-1 Dodoma Jiji na Fe alitupia mabao mawili….