Home Sports MASHETANI WEKUNDU WAPASUKA KWENYE DERBY, WAPIGWA 3-1

MASHETANI WEKUNDU WAPASUKA KWENYE DERBY, WAPIGWA 3-1

Mashetani Wekundu wamepasuka kwenye derby ya jiji la Manchester katika dimba la Etihad.

FT: Man City 3-1 Man United
⚽ Foden 56’
⚽ Foden 80’
⚽ Haaland 90+1’
⚽ Rashford 8’

👉Man City imesogea mpaka alama moja nyuma ya kinara Liverpool wakisalia nafasi ya pili alama 62 baada ya mechi 27.

👉Man United wanasalia nafasi ya sita alama 44 baada ya mechi 27.

👉Erling Haaland amefikisha magoli 18 akiwa kileleni mwa msimamo wa ufungaji bora magoli mawili mbele ya Mohammed Salah.

Previous articleAZIZ KI KIMATAIFA BALAA TUPU/PACOME MPAKA MAXI
Next articleFEI TOTO KASI YAKE YAONGEZEKA, AZAM YAPETA