
KOCHA SIMBA AMESEPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha anatarajiwa kuondoka leo Machi 7 kwa ajili ya kuelekea nchini Algeria atakuwa huko kwa muda wa siku tano. Machi 6 Benchikha alishuhudia kikosi cha Simba kikipigishwa kwata na Tanzania Prisons kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba…