
WANAOKUTANA ROBO FAINALI SHIRIKISHO CAFCC
?? FUTURE FC ? ZAMALEK ?? ?? ABU SALIM ? RS BERKANE ?? ?? RIVERS UTD ? USM ALGER ?? ?? STADE MALIEN. ? DREAMS FC ?? NANI ATAKWEBDA NUSU HAPO UNAONA…?? HAYA TUNANGOJA LIGI YA MABINGWA AFRIKA…
?? FUTURE FC ? ZAMALEK ?? ?? ABU SALIM ? RS BERKANE ?? ?? RIVERS UTD ? USM ALGER ?? ?? STADE MALIEN. ? DREAMS FC ?? NANI ATAKWEBDA NUSU HAPO UNAONA…?? HAYA TUNANGOJA LIGI YA MABINGWA AFRIKA…
AMETEMBEZA mkwara huu bosi Yanga ishu ya kupata ushindi ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Fountain Gate umebainisha kuwa unahitaji pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba Simba imetoka kupata ushindi dhidi ya Coastal Union kwenye mchezo wa ugenini uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Kwenye msimamo ipo nafasi ya tatu na pointi 39 baada ya kucheza mechi 17 vinara wa ligi ni…
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameshindikana kutokana na kasi yake ndani ya uwanja kutimiza majukumu yake akishirikiana na wachezaji wenzake katika kusaka ushindi uwanjani kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na kimataifa
Jackpot ya Expanse Kasino Hii sio ndoto hata kidogo ni uhalisia uliopo katika nyumba ya mabingwa Meridianbet, kuna Jackpot endelevu ya michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma wa michezo ya kasino kampuni ya Expanse Studio. Ikumbukwe kwamba Jackpot hii ipo kila siku katika makundi matatu ya Diamond, Platnumz, na Gold kila…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa wale wanaosema ushindi wao kàtika mechi za Ligi Kuu Bara ni wa mchongo wajiulize wao walifungwa ngapi walipokutana nao. Machi 11 2024 ubao wa Uwanja wa Azam Complex ulisoma Yanga 5-0 Ihefu na pointi tatu zikiwa ni mali ya Yanga. Mabao ya Pacome Zouzoua dakika ya 10, Mudathir Yahya…
UKUTA wa Simba unapata tabu vibayavibaya ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 ndani ya uwanja kutokana na kuwa namba moja kwa kuruhusu mabao mengi ndani ya tatu bora
NYOTA Wazir Junior mshambuliaji wa KMC ameingia anga za Yanga kwa kuwa sawa kwenye utupiaji na mwamba Aziz KI ndani ya Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba Junior aliwahi kucheza katika kikosi cha Yanga alipoibuka hapo akitokea Mbao lakini alikwama kuwa kwenye ubora kutokana na kutopewa nafasi mara kwa mara na hata alipopewa hakuwa na bahati…
HAPA ndipo tatizo la Simba kwenye mechi zake za ushindani limebainishwa lilipo kutoka kwenye benchi la ufundi jambo linalowafanya wasiwe kwenye uimara wa kupata matokeo chanya katika mechi za hivi karibuni.
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amesema kuwa wataingia kwa tahadhari kuwakabili wapinzani wao Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Machi 11 Yanga ambao wametoka kushuhudia ubao wa Uwanja wa Majaliwa ukisoma Namungo 1-3 Yanga watakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Ihefu. Katika mchezo huo…
Huu hapa mchezo mwingine mzuri kabisa na rahisi kujipigia mkwanja unaposhiriki michezo ya kasino ya mtandaoni, ni mchezo wa Barbary Coast maharamia wenye nguvu wanaopatikana baharini, kazi yao ni kuteka meli zenye mizigo na kujimilisha. Unapokuwa unaucheza mchezo huu wa kasino ya mtandaoni unakupa nafasi ya kujimilikisha alama nyingi za ushindi, kwa kupanga madau yako…
Pambano la mwisho kati ya Pep Guardiola na Jurgen Klopp kwenye Ligi Kuu England limemalizika kwa sare ya 1-1 katika dimba la Anfield. FT: Liverpool 1-1 Manchester City ⚽ Mac Allister (P) 50’ ⚽ John Stones 23 Hili ni pambano la 30 kati ya Klopp na Pep Guardiola ambapo Mjerumani huyo ameshinda mara 12, Mhispania…
MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ameshindikana Bongo kutokana na kasi yake ndani ya uwanja kwenye kutimiza majukumu yake anapopata nafasi kikosi cha kwanza
Habari njema kwako mteja wa meridianbet ni kuwa ukibashiri na meridianbet ni rahisi sana kwako kupiga mkwanja. Unajua ni kwanini?. Ni kwasababu huku kuna Turbo Cash yaani kutoa pesa yako mapema kabla mechi hazijaisha. LALIGA leo hii kuna mitanange ya kutosha saa 10:00 Deportivo Alaves atapepetana dhidi ya Rayo Vallecano ambaye mechi ya kwanza walipokutana…
Sikuku ya wanawake duniani imekua ni baraka kwa wakina Mama wanaojishughulisha na ujasiriamali mdogo katika soko la Mwananyamala, Ambapo kampuni ya Meridianbet iliwafikia na kutoa msaada katika eneo hilo. Meridianbet walifanikiwa kufika eneo la Mwananyamala sokoni na kutoa msaada wa vyakula kwa kina Mama wanaofanya biashara katika soko hilo, Hii ni katika kuhakikisha wanathamini mchango…
TALIB Hilal mshauri wa Ufundi wa Timu ya Taifa ya Soka la Ufukweni ambaye alikuwa ni mchezaji wa zamani wa Simba ametoa sadaka kwa makundi maalumu kuelekea mfungo mtukufu wa Ramadhani. Hii ni mara ya tano kwa kocha huyo wa timu ya taifa ya ufukweni ya Oman kufanya hivyo akiweka wazi kuwa imani ya dini…