NYOTA YANGA HESABU ZAKE ZIPO HIVI

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Clement Mzize amesema watapambana kufanya vizuri kwenye mechi zao kwa kuwa wapo tayari kuwapa furaha mashabiki na wao kutimiza malengo yao. Mzize ni miongoni mwa washambuliaji wazawa ambao wamekuwa ni maji kupwa na kujaa ndani ya Yanga licha ya kutopewa nafasi mara kwa mara akiwa kwenye ubora wake hufanya kazi yake kwa…

Read More

VIDEO: JEMBE AMEZUNGUMZIA ISHU YA MAFANIKIO YA SIMBA NA KUACHWA BALEKE NA PHIRI

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa Habari wa habari katika masuala ya michezo Jembe ameweka wazi kuwa dunia inabadilika haraka sana huku mafanikio yakiwa kwenye sehemu tofautitofauti akibainisha kuhusu Kibegi kama kiliwasaidiai kuwaongezea kitu inawezekana kuwa sehemu ya mafanikio. Amebainisha kuwa ni muhimu wa kubadili mawazo kwa sasa kwa kuangalia kwamba kama ni waati uliopita…

Read More

SIMBA KUREJEA KAZINI

KIKOSI cha Simba leo Januari 25 kinatarajiwa kurejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mechi zijazo za kitaifa na kimataifa. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu,Abdelhak Benchikha ilitoka kushiriki Mapinduzi 2024. Kwenye mashindano hayo iliishia nafasi ya pili na bingwa akiwa ni Mlandege. Januari 13 2024 ilikuwa ni fainali na ubao ulisoma Mlandege 1-0 Simba….

Read More

YANGA NI MWENDO WA KAZIKAZI

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa watafanya kazi kubwa kwenye mechi za kitaifa na kimataifa malengo ikiwa ni kufanya vizuri kutokana na uimara wa wachezaji wao. Yanga kwenye dirisha dogo la usajili ilitambulisha wachezaji wapya watatu ambao ni Agustino Okra, Shekhan Ibrahim na Joseph Guede.  Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kwenye kila mashindano ambayo…

Read More

KOCHA STARS: TUMEJIFUNZA MENGI AFCON

JUMA Mgunda, kocha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania amesema kuwa wamejifunza mengi baada ya kugotea hatua ya makundi katika Kombe la Mataifa Afrika, (AFCON). Katika mechi tatu Stars ilipoteza mchezo mmoja dhidi ya Morocco inayoongoza kundi F ikiambulia Sare mbili dhidi ya Zambia 1-1 Tanzania na Tanzania 0-0 DR Congo mchezo uliochezwa usiku…

Read More

AMETHIBITISHA BALAA LA MBEBA MIKOBA YA BALEKE SIMBA

WAKATI Jean Baleke akipewa mkono wa asante ndani ya kikosi cha Simba mwamba anayetajwa kurithi mikoba yake Michel Fred anatajwa kuwa na uwezo mkubwa kwenye kutimiza majukumu yake uwanjani. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally amesema kuwa washambuliaji wapya wanaokuja ndani ya Simba wanauwezo mkubwa hivyo watawapa furaha mashabiki wa Simba…

Read More

KILA LA KHERI TAIFA STARS

USHINDANI ni mkubwa na kila timu inafanya kweli kupata ushindi ndani ya uwanja hivyo muhimu ni kujituma na kupata matokeo chanya. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo ina kibarua kingine kigumu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo. Kila timu inatafuta pointi tatu hivyo ni muhimu kwa wachezaji kujituma…

Read More

MITAMBO YA MABAO AZAM FC HII HAPA

WAKIWA ni vinara ndani ya Ligi Kuu Bara Azam FC kuna nyota wawili ambao ni mitambo ya mabao ikiwa ni pamoja na Feisal Salum na Kipre Junior. Timu hiyo chini ya Kocha Mkuu Yuuph Dabo ilikuwa kwenye mwendo mzuri wa ligi lakini kwenye Mapinduzi 2024 iligotea hatua ya robo fainali ilipokwama kupata ushindi mbele ya…

Read More

MRITHI MIKOBA YA BALEKE NI BALAA TUPU

MRITHI wa mikoba ya mshambuliaji, Jean Baleke ambaye anaondoka akiwa namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa katupia mabao 8, Michael Fred ana balaa kutokana na rekodi zake. Ni Michael Fred raia wa Ivory Coast anatajwa kubeba mikoba ya Baleke ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2023/24 kwenye mechi zilizobaki…

Read More

Sloti ya Lucky Dolphin Kasino Yenye Mandhari ya Baharini

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na gesi kwa kiasi kikubwa vinapatikana baharini waulize wavuvi watakwambia juu ya maajabu ya baharini. Meridianbet kasino mtandaoni inakurudisha baharini kuusaka utajiri kupitia mchezo wa kasino unaitwa Lucky Dolphin.   Lucky Dolphin ni sloti ya kasino…

Read More

MBWANA SAMATTA AHESHIMIWE, KAZI YAKE NI KUBWA

“UKIKUBALI ujinga upewe nafasi werevu utapotea mithili ya moshi angani.” Kauli hii alikuwa anapenda kuitumia Mwalimu Dkt. Thadei Mwereke pale Chuo Kikuu cha Kampala ambapo niliwahi kusoma pale. Hii inamaanisha kwamba kamwe tusiruhusu ujinga kupenya kwenye dunia ya werevu. Mbwana Samatta moja ya tunu na fahari ya taifa letu bahati mbaya sana amejikuta kwenye dunia…

Read More

HIZI HAPA HESABU ZA AZAM FC

 UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi huwa mpango kazi wao ni kuendelea kupata matokeo mazuri kwenye mechi zijazo ndani ya Ligi Kuu Bara pamoja na mashindano mengine. Hasheem Ibwe Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa ambacho wanakihitaji ni kuwa kwenye kasi ileile waliyokuwa nayo kwenye ligi kwa kupata ushindi na burudani kuwapa mashabiki zao….

Read More