
MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI NOMA SANA
MTAMBO wa mabao ndani ya Ligi Kuu Bara, Aziz KI hajawa kwenye kikosi hicho katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270 huku majukumu yake ya mapigo huru yakiwa kwenye miguu ya Pacome Zouzoa ambaye alikuwa na balaa. Sababu kubwa ya Aziz mwenye mabao 10 na pasi mbili za mabao kutokuwa kwenye mechi hizo alikuwa…