


MCHEZAJI WA SPARTAK MOSCOW YA NCHINI URUSI, QUINCY PROMES, AKUMIWA KWENDA GEREZANI MIAKA 6
Mchezaji anayekipiga katika timu ya Spartak Moscow ya nchini Urusi, Quincy Promes, amehukumiwa kwenda Gerezani miaka 6 baada ya kukutwa na hatia ya uuzaji wa dawa za kulevya. Promes ambaye aliwahi kuitumikia timu ya Taifa ya Uholanzi kati ya mwaka wa 2014-2021 hakuwepo wakati hukumu inatolewa katika mji wa Amsterdam Uholanzi. Pia mchezaji huyo mwenye…

HUYU HAPA MJASIRIAMALI AKOMBA MILIONI ZA SUPA JACPPOT YA SPORTPESA
KAMPUNI ya michezo na kubashiri Tanzania, SportPesa ambao ni wadhamini wa mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga wamemtangaza mshindi wa SportPesa Supa Jacpot ambaye ni kijana wa miaka 27. Leo Februari 15 imefanyika hafla fupi ya kumpongeza kijana huyo David Mwenge Nyantora ambaye ni mjasiriamali na kumkabidhi zawadi yake hiyo huku akiweka wazi…

KITAWAKA SIMBA VS JKT TANZANIA KWENYE UWANJA WA MBWENI
LIGI kuu ya NBC Tanzania bara inaendelea tena leo Februari 15, 2024 kwa mechi tatu. • 16:00 • JKT Tanzania vs Simba SC ?️ Meja Jenerali Isamuhyo • 16:00 • Tanzania Prisons vs Singida FG FC ?️ Sokoine, Mbeya • 20:15 • Coastal Union vs Dodoma Jiji FC ?️ Mkwakwani, Tanga ▪️Mchezo wa JKT Tanzania…

NYUMBA YA MIUNGU 12 YA UGIRIKI| CHEZA MERIDIANBET KASINO
Mbele yako ni Mchezo wa kasino ya mtandaoni wa kusisimua unaofanyika kwenye Mlima Olympus wenye historia kubwa sana nchi ya Ugiriki kutokana na kubeba siri kubwa ya Miungu 12 ya Ugiriki. JISAJILI NA MERIDIANBET ufurahie kasino ya mtandaoni yenye MAOKOTO kibao. Mlima Olympus unachukuliwa kuwa mmoja wa milima inayotamaniwa zaidi duniani si tu kwa sababu…

Title:PIGA MKWANJA WA KUTOSHA LEO KUPITIA UEFA
Wewe mwana Meridianbet leo unaweza kuifanya sikukuu yako ya wapendanao kua ya kipekee pale tu ambapo utaweka mkwanja na kubashiri michezo ya ligi ya mabingwa ulaya ambayo itakwenda kupigwa usiku wa leo. Leo kutakua na michezo mikali kwenye ligi ya mabingwa ulaya ambapo klabu ya Lazio itakua nyumbani kuwakaribisha miamba ya soka kutoka nchini Ujerumani…

SIMBA YATUMA UJUMBE HUU KWA WAJEDA JKT TANZANIA
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa hesabu kubwa kwa sasa ni kuelekea mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kwamba mchezo uliopita Simba ilikuwa ugenini ilivuna pointi tatu dhidi ya Geita Gold kwa bao la Babacarr Sarr dakika ya 81 kwenye mchezo huo akitumia pasi…

KIJANA ASHINDA JACPOT YA BILIONI KUTOKA SPORTPESA
KAMPUNI ya Michezo na Burudani SportPesa imemtangaza mshindi wa Jackpot ya shilingi 265,780,681 TZS David Mwenge Nyantora (27). David ambaye ni mwajiriwa alibashiri kwa usahihi mechi 13 kati ya 13 kwenye mechi za Supa Jackpot ambayo inamgawanyiko wa Jackpot za mechi 17,16,15,14 na 13 iliyopata mshindi. Akimtangaza mshindi huyo wa awamu ya kumi Mwenyekiti wa…

KIPA WA KAZI AREJEA YANGA
KIPA wa kazi ndani ya Yanga Djigui Diarra amerejea ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu mengine ya timu ya taifa. Tayari Diarra ambaye ni kipa namba moja wa Yanga yupo kambini na kikosi hicho baada ya kuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa lake la Mali iliyoshiriki michuano ya Kombe la Mataifa…

Ukiona Alama Hizi Kasino Tambua Wewe Ni Bingwa| Cake&Ice Cream Kasino
Hakuna mtu asiyejua utamu wa keki, na utamu huo hupatikana kwa kutengenezwa vizuri na kupambwa kwa Ice Cream bomba ili kuivutia keki, utamu huu unaupata tena Meridianbet Kasino Mtandaoni kwa kucheza mchezo wa Cake and Ice Cream. Cake and Ice Cream ni mchezo wa kasino mtandaoni kutoka kwa mtoa huduma Red Tiger. Katika mchezo…

Piga Mkwanja Leo Meridianbet na Mechi za UEFA
UEFA kupigwa leo hii kwa mechi mbili kali kwelikweli huku kuna City na Copenhagen na kule kuna Real Madrid dhidi za RB Leipzig nani kuanza vyema kwenye hatua ya 16 bora leo mechi za kwanza?. Tupia mkeka wako pale meridianbet na ujiweke kwenye nafasi za kuwa Milionea. Pep Guardiola Machester City watakuwa ugenini kumenyana dhidi…
WANAKOMBA TUZO NDANI YA LIGI KUU BARA
WANAKOMBA Tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara hawa kutokana na kazi waliyofanya ndani ya uwanja

TABORA UNITED YAINGIA CHIMBO KUIWINDA AZAM FC
WAKALI kutoka Tabora, kikosi cha cha Tabora United kimeanza maandalizi kwa ajili ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya NBC Soka Tanzania Bara ambapo mchezo wao ujao itakuwa dhidi ya Azam FC. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februali 19 2024 katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Mjini Tabora. Kikosi hicho cha nyuki wa Tabora kimeanza…

ORODHA YA WACHEZAJI WANAOJITUMA NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA
ORODHA ya wachezaji wanaojituma ndani ya kikosi cha Simba ikiwa ni baadhi yao kutokana na kazi ambayo wanaifanya wakiwa uwanjani

Mchezo wa Kasino Wenye Jackpot Kubwa Upo Meridianbet
Hatimaye Meridianbet Kasino Mtandaoni imekuja na mchezo mwingine wa matunda ambao kiukweli kama ukianza kucheza huwezi kujutia muda wako, mchezo huu wa 20 Imperial Crown utakupatia bonasi kibao na faidia kubwa sana ya dau lako unalocheza. 20 mperial Crown Deluxe Sifa Zake 20 Imperial Crown Deluxe kasino mtandaoni wenye safu tano zilizopangwa katika mistari mitatu…

GEITA GOLD YAPOTEZA MBELE YA SIMBA
KWENYE mechi mbili mfululizo Uwanja wa CCM Kirumba, Simba inaambulia pointi dakika za lala salama katikà mchezo wa Ligi Kuu Bara. Walianza Februari 9 ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC, bao lilifungwa na Clatous Chama dakika ya 90 Simba wakakomba pointi moja. Februari 12 ubao umesoma Geita Gold 0-1 Simba bao likifungwa na Babacar Sarr…

MBEBA MIKOBA YA AZIZ KI NOMA SANA
MTAMBO wa mabao ndani ya Ligi Kuu Bara, Aziz KI hajawa kwenye kikosi hicho katika mechi tatu mfululizo ambazo ni dakika 270 huku majukumu yake ya mapigo huru yakiwa kwenye miguu ya Pacome Zouzoa ambaye alikuwa na balaa. Sababu kubwa ya Aziz mwenye mabao 10 na pasi mbili za mabao kutokuwa kwenye mechi hizo alikuwa…