
ISHU YA SARE DHIDI YA AZAM FC SIMBA WAJA NA HILI HAPA
BAADA ya kuambulia sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Azam FC, mabosi wa Simba wamekuja na mpango kazi kwa ajili ya mechi znazofuata. Ipo wazi kuwa Februari 9 ubao wa Uwanja wa CCM Kirumba ulisoma Simba 1-1 Azam FC. Prince Dube alipachika bao dakika ya 14 huku Clatous Chama akifunga bao la kuweka usawa…