AZAM FC YAPOTEZA MBELE YA MBEYA CITY

AZAM FC imepoteza kwa kufungwa mabao 2-1 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Nyota wa Mbeya City Juma Shemvuni dakika ya 51 kwenye mchezo huo alipachika bao la kuongoza. Kwa Azam FC bao pekee la kufutia machozi lilifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 88 kwenye mchezo huo ikiwa ni…

Read More

AZAM FC NI MOTO KWENYE LIGI

KWENYE timu ambazo zimefunga kwa rekodi matata ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2022/23 huwezi kuiweka kando Azam FC. Licha ya mechi zake kuwa na ushindani mkubwa pamoja na adhabu kwa baadhi ya wachezaji kama ilivyotokea mchezo wa Azam FC 3-2 Coastal Union bado boli inatembea. Ni Ayoub Lyanga huyu ni mtambo wa mabao…

Read More

KIMATAIFA:YANGA 2-0 TP MAZEMBE

DAKIKA 45 bora kwa Yanga kutokana na kucheza soka la kushambulia na utulivu mkubwa dhidi ya TP Mazembe. Ni uhakika kusepa na milioni 10 ambazo ni zawadi kutoka kwa Mama ambaye aliahidi kutoa kila M 5 kwa bao moja kwenye anga za kimataifa. Ubao wa Uwanja wa Mkapa unasoma Yanga 2-0 TP Mazembe ambao hawaamini…

Read More

KOCHA HISPANIA AKUBALI UWEZO WA BONO

 KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Hispania Luis Enrique ameweka wazi kuwa ubora wa kipa wa Timu ya Taifa ya Morocco ulikuwa mkubwa jambo ambalo lilimfanya afikirie kumbadilisha. Hispania walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kupata ushindi lakini mambo yakawa tofauti walikwama kupata ushindi baada ya Morocco kushinda kwa penalti 3-0 Hispania ambao walikosa penalti…

Read More

BEKI HUYU SIMBA ANA BALAA ZITO

KWENYE eneo la ulinzi ndani ya kikosi cha Simba kuna mtu wa kazi ngumu anayezidi kuimarika kila leo kutokana na kujituma kwake katika kutimiza majukumu licha ya makosa ambayo amekuwa akifanya kwenye baadhi ya mechi. Ni Abdlazack Hamza, beki wa kazi ndani ya kikosi cha Simba ambaye amekuwa ni chaguo la kwanza katika kikosi cha…

Read More

SIMBA YAWAFUATA SINGIDA BIG STARS

KOCHA Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amesema kuwa wanatambua mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa. Kikosi cha Simba leo Novemba 7 kimesepa Dar ambapo kitapitia Dodoma kabla ya kuibukia Singinda. Mchezo huo wa ligi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti ukiwa ni wa pili kwa Simba kucheza…

Read More

SIMBA: WAARABU WAMEKUJA WAKATI MBAYA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wapinzani wao Al Ahly, Waarabu wa Misri wamekuja wakati mbaya ikiwa ni maandalizi ya mwisho ya mchezo wa ufunguzi wa African Super League. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 20 2023 ukiwa na wageni wakubwa kutoka pande zote za dunia na miongoni mwao ni pamoja na rais wa Fifa Gianni…

Read More

AZAM FC KUSAJILI MASHINE TATU ZA KAZI

WAKATI vijana wa Azam FC wakiendelea na mazoezi kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22, imeelezwa kuwa mabosi wa timu hiyo wapo kwenye mpango wa kusajili nyota watatu wa kazi kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho. Mpango kazi unatajwa kuchorwa kwa kuwafuata nyota kutoka Rwanda kwa lengo la kuboresha kikosi hicho ambacho…

Read More

AZAM FC YAJIVUNIA POINTI ZAO ZA KARIAKOO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umezifungia pointi za vigogo wa Kariakoo,Yanga na Simba za mzunguko wa kwanza wanasubiri nyingine. Azam chini ya Kali Ongala imekuwa na mwendo bora ambapo kwenye mechi 8 mfululizo ilisepa na pointi 24 imeanza mzunguko wa pili kwa sare ya kufungana mabao 2-2 dhidi ya Kagera Sugar.  Ofisa Habari…

Read More

TIMU YA TAIFA U 23 YAWAFUATA SUDAN KUSINI

KIKOSI cha Timu ya Taifa ya Vijana Chini ya Miaka 23, leo Septemba 24 kimeanza safari kuelekea Rwanda. Kinatarajiwa kucheza na Timu ya Taifa ya Sudan Kusini kwenye mchezo wa marudiano kuwania kufuzu AFCON. Mchezo wa kwanza uliochezwa jana Septemba 23, Uwanja wa Azam Complex ubao ulisoma Tanzania 0-0 Sudan Kusini. Hemed Morocco, Kocha Mkuu…

Read More

SIKU YA MALARIA DUNIANI IMEWAKUTANISHA MERIDIANBET NA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA AMANA

Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia kwa ujumla katika kuongeza nguvu kwenye mapambano makali dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Ugonjwa wa Malaria unaripotiwa kuwa chanzo cha vifo vya watoto (hasa wenye umri chini ya miaka 5) na hivyo kwa sehemu kubwa,…

Read More

AZAM FC YAMALIZWA KIMKAKATI NA YANGA

MABOSI wa Yanga wamebainisha kwamba mkakati wa kuimaliza Azam FC ulishachorwa Songea kwa kuwa walipata muda wa kuitazama timu hiyo ilipocheza mchezo wake wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC. Azam FC jana ilipoteza mchezo wake wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids FC kwa kufungwa bao 1-0. Akizungumza na Championi Jumamosi, Kaimu Mtendaji…

Read More

KINYAGO WA SIMBA: TUTAFANYA KWELI UWANJA WA MKAPA

BAADA ya kupoteza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika wa hatua ya robo fainali ya kwanza, Uwanja wa Suez Canal, Misri, shabiki wa Simba maarufu kwa jina la Kinyago wa Simba wa Tabata amebainisha kuwa wanaamini mchezo wao ujao dhidi ya Al Masry, Uwanja wa Mkapa watafanya kweli na kutinga hatua ya nusu fainali….

Read More