
MASTAA WALIOFUNGA KARIAKOO DABI
NGOMA inatarajiwa kupigwa Uwanja wa Mkapa, Aprili 20 2024 kwenye Kariakoo Dabi ambapo kila timu itakuwa kazini kusaka pointi tatu ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba kwenye mzunguko wa kwanza mchezo uliochezwa Novemba 5 2023 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga. Hawa hapa waliofunga Kariakoo Dabi tukianza na wenyeji Yanga namna hii:- Kennedy…