AZAM FC NA COASTAL UNION ZAPIGANA MKWARA

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya Ngao ya Jamii kati ya matajiri wa Dar, Azam FC dhidi ya Wagosi wa Kaya, kutoka Tanga, Coastal Union maofisa habari wa timu zote mbili wamepigana mikwarakwa kubainisha kuwa wote wanahitaji ushindi. Kwenye mchezo wa leo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar mshindi atakutana na Yanga…

Read More

Vibe la Aviator! Mamilioni Yakungonja Kasino

Kuwa rubani wa maisha yako kwa kurusha ndege ya Aviator, iliyopo Meridianbet, huu ni mchezo wa kasino ya mtandaoni ambao unapendwa na watu wengi.   Unachotakiwa kukifanya ni kuanza safari yako kwa kurusha ndege umbali mrefu Zaidi, huku ukiwa makini kabla haijaanguka chini unatakiwa uwe umekatisha safari yako na kuvuna pointi zako. Jisajili na Meridianbet…

Read More

GAMONDI ATUMA UJUMBE MZITO SIMBA

KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii hatua ya nusu fainali kati ya Simba dhidi ya Yanga, Miguel Gamondi ametuma ujumbe mzito kwa wapinzani wake akibainisha kwamba hawana hofu kuwakabili wapinzani hao uwanjani. Ipo wazi kuwa Agosti 8 2024 inatarajiwa kuchezwa Kariakoo Dabi katika Ngao ya Jamii ikiwa ni hatua ya nusu fainali, fainali inatarajiwa…

Read More

MASHABIKI NANE WA SOKA KWENDA DUBAI KUPITIA PROMOSHENI YA PARIMATCH NA AIRTEL

JUMLA ya mashabiki nane wa soka watapata fursa ya kutembelea nchini Dubai endapo watashinda tiketi kupitia promosheni ya Dubai Kumenoga ilitoziduliwa na Kampuni ya michezo ya kubahatisha Parimatch kwa kushirikiana na Airtel Tanzania  kupitia huduma za Airtel Money. Promosheni hiyo ni muendelezo wa kampeni kubwa iliyomalizika ya Zigo la Euro 2024 nchini Ujerumani ambapo mashabiki…

Read More

VIBE LA CHUI SIO LA KITOTO HUKO

KAZI inaendelea ambapo tamasha lingine kubwa linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Liti, Singida ikiwa ni utambulisho wa wachezaji wapya na benchi la ufundi. Ni Singida Black Stars wameweka wazi kuwa kutakuwa na burudani kubwa katika kilele cha Big Day,Uwanja wa Liti Agosti 10 2024 ambapo kutakuwa na mchezo wa kirafiki utakaokuwa na ushindani mkubwa. Hilo ni…

Read More

TANZANITE DAY YAPAMBA MOTO

UONGOZI wa Fountain Gate umeweka wazi kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kuelekea Tanzanite Day linalotarajiwa kufika kilele chake rasmi Agosti 9 2024 ikiwa ni maandalizi kuelekea msimu wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa kila kitu kipo kwenye mpangilio wake. Maandalizi yamepamba moto kwa timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara kukamilisha usajili wa…

Read More

MVP ATUMA UJUMBE HUU KUELEKEA KARIAKOO DABI

MVP wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24 Aziz Ki ameweka wazi kuwa kila baada ya mchezo mmoja kinachofuata ni maandalizi kwa mchezo ujao ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Yanga iliweka kambi Afrika Kusini ambapo ilialikwa kwenye mashindano maalumu ilitwaa Kombe la Toyota kwa ushindi wa mabao 4-0 baada ya dakika 90. Katika mchezo huo…

Read More

JEMBE: SIMBA WAMALIZANE VIZURI NA MANULA

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo Bongo kitaifa na kimataifa, Saleh Ally wengi wanapenda kumuita Jembe ameweka wazi kwamba ni muhimu Simba kumalizana vizuri na mchezaji wao Aishi Manula. Manula hayupo kwenye mpango na Simba kwa msimu wa 2024/25 jambo ambalo lilipelekea asitambulishwe kwenye kikosi siku ya Simba Day, Agosti 3 Uwanja…

Read More

SALEH JEMBE: SIMBA HAIMHITAJI MANULA, BUSARA ZITUMIKE KUMALIZANA – VIDEO

Mchambuzi mahiri wa soka, Saleh Ally Jembe @salehjembefacts amesema mashabiki wa Simba waliomzomea mchezaji wao, Kibu Denis kwenye mechi dhidi ya APR ya Rwanda kwenye Simba Day, walikuwa sahihi kutokana na utovu wa nidhamu waliofanyiwa na mchezaji huyo. Saleh amesema Kibu Denis pia hakupaswa kucheza kwenye mechi hiyo kwani hakushiriki kwenye mazoezi ya pre-season kama…

Read More

AZAM FC WAMEANZA KUKUSANYA MAKOMBE

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamerejea Dar mapema kabisa wakiwa na kombe walilotwaa Rwanda mbele ya Rayon Sports iliyowaalika ambapo siku hiyo ilikuwa rasmi kwa timu hiyo kufanya utambulisho wa wachezaji kuelekea msimu wa 2024/25. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ilitwaa ubingwa wa Kombe ka Choplife baada ya kupata ushindi wa bao…

Read More