AZAM FC WAMEANZA KUKUSANYA MAKOMBE

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamerejea Dar mapema kabisa wakiwa na kombe walilotwaa Rwanda mbele ya Rayon Sports iliyowaalika ambapo siku hiyo ilikuwa rasmi kwa timu hiyo kufanya utambulisho wa wachezaji kuelekea msimu wa 2024/25. Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo ilitwaa ubingwa wa Kombe ka Choplife baada ya kupata ushindi wa bao…

Read More

WIKI YA MOTO, NGAO YA JAMII HII HAPA

WIKI hii ni yamoto kutokana na matukio yake kuwa bamba kwa bamba kutokana na kila timu kuwa kazini ikiwa ni kuelekea katika msimu mpya wa 2024/25 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ipo wazi kuwa kutakuwa na Big Day ya ni Agosti 10 2024 Uwanja wa Liti ambapo tayari tiketi zimeanza kuuzwa kuelekea kwenye tamasha hilo…

Read More

SIMBA YATAMBIA MASHINE ZAO 2024/25

AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wachezaji wote waliopo ndani ya kikosi cha Simba wapo tayari kupambania uzi wa Unyamani kuwapa furaha Wanasimba. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2023/24 Simba iligotea nafasi ya tatu kwenye msimamo baada ya mechi 30 ikiwa na pointi 69 itapeperusha bendera ya Tanzania kwenye Kombe…

Read More

SIMU ZITAITA SANA KWA MUDA

MUDATHIR Yahya kiungo wa Yanga ubora wake uleule unaendelea msimu wa 2024/25 kwa mujibu wa Maulid Kitenge ameweka wazi kuwa kwa Muda simu zitaita sana. Agosti 4 katika utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi cha Yanga msimu wa 2023/24 kwenye kilele cha Wiki ya Mwananchi wakati ubao wa Uwanja wa Mkapa ukisoma…

Read More

Utajiri Upo Upande wako Leo na Expanse Kasino

Meridianbet Kasino inaendelea kufaidisha wateja, kwa kucheza michezo ya kasino na sloti unaweza kushinda bonasi ya kasino Baab kubwa, jisajili upate bonasi ya Ukaribisho kwa asilimia 300% kisha cheza michezo ya kasino ya mtandaoni na kubashiri michezo mingi.   Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo…

Read More

YANGA KULIPA KISASI KWA MKAPA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea kwenye kilele cha Wiki ya Wananchi Agosti 4 2024 watalipa kisasi cha mtani wao wa jadi Simba kwa kuonyesha ukubwa walionao kwa kuujaza Uwanja wa Mkapa. Ipo wazi kwamba Agosti 3 2024 ilikuwa ni Simba Day ambapo mashabiki wa Simba walijitokeza wengi na mapema kabla ya tukio ilitagazwa…

Read More

SAKATA LA MANULA SIMBA KUCHUKULIWA HATUA

BAADA ya Simba kutotoa ufafanuzi kuhusu uwepo wa Aishi Manula kwenye kikosi msimu wa 2024/25 Jemedari Said ameweka wazi kuwa wanasikitishwa na kitendo cha Simba hivyo watachukua hatua kuona mchezaji huyo anapata haki. Kwenye ukurasa wa Instagram ameandika namna hii: “Tunazungumza na wanasheria wetu kuona namna watakavyoshughulia suala la klabu ya Simba na mchezaji wetu…

Read More

NYIE HAMUOGOPI? YANGA WANA JAMBO LAO

MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama amesema kuwa Agosti 4 2024 wana jambo lao Uwanja wa Mkapa hivyo mashabaki wajitokeze kwa wingi. Ni Kilele cha Tamasha la Wiki ya Wananchi ikiwa ni maalumu kwa ajili ya utambulisho wa wachezaji wapya na wale waliokuwa na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Ipo wazi kwamba Chama…

Read More

KIBU KUKUTANA NACHO HUKO SIMBA

UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa kiungo Kibu Dennis atapewa adhabu ili kuwa fundisho kwa wachezaji wengine ndani ya timu hiyo kuwa na nidhamu. Ikumbukwe kwamba Kibu hakuwa na timu kambini nchini Misri na taarifa kutoka Simba zilibainisha kwamba alikuwa akitoa sababu tofauti tofauti alipojulishwa kwamba anatakiwa kuripoti kambini. Mpaka kambi inakamilika nchini Misri Kibu hakuwa…

Read More

AZAM FC KIMATAIFA KAZINI LEO

MATAJIRI wa Dar Azam FC Agosti 3 2024 wanatarajiwa kuwa kazini kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda. Mchezo huu ni maalumu baada ya Azam FC itakayopeperusha bendera ya Tanzania Kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kupewa mualiko kwenye kilele cha siku ya Rayon Sports Day. Ni Agosti 2 kikosi cha…

Read More