
AUCHO ATUMA UJUMBE HUU
MWAMBA Khalid Aucho kiungo wa Yanga amewataka wapenda soka kumfurahia wakati huu akiendelea kulisakata kabumbu katika ligi ya Tanzania kwasababu hakuna Khalid Aucho mwingine ambaye ataonekana kwenye soka la Bongo. Nyota huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu Miguel Gamondi anatarajiwa kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabilia Tabora United kwenye mchezo wa hatua ya robo…