
BINGWA WA MUUNGANO ATAJWA NA WIZARA YA MICHEZO
NAIBU Waziri wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, maarufu kama FA amesema kuwa bingwa wa leo kwenye mchezo wa fainali wa Muungano ataandika rekodi ya kuwa bingwa mpya baada ya mashindano hayo kurejea. FA amesema hayo kwenye uzinduzi wa mashindano ya Dar Youth Cup yaliyoandaliwa na Bull Football Academy kituo cha kukuza…