
SINGIDA FOUNTAIN GATE YAPETA, KADI ZATAWALA
KAZI imeanza kwa kocha mpya wa Singida Fountain Gate Jamhuri Kihwelo (Julio) kwenye mchezo wa kwanza kukaa benchi ameanza kwa ushindi na kukomba pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba Julio alitambulishwa kuifundisha timu hiyo Machi 13 2024 na kupewa ajenda 10 muhimu ambazo ni mechi za ligi 10, ya kwanza imekamilikabado kete 9 mkononi. Singida Fountain…