
VIDEO: YANGA WASIOGOPE KUHUSU MAMELODI, WANAWEZA
LEGEND kwenye uandishi wa Habari za Michezo Saleh Ally ameweka wazi kuwa Yanga kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji kufanya maandalizi mazuri na wasiogope kwa kuwa inawezekana na Yanga ni muda wao kujitangaza kimataifa.