
GAMONDI MASTA NA HESABU KIMATAIFA HAPA
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa mpango mkubwa kwenye mechi za kimataifa ni kupata ushindi wapo tayari kutokana na maandalizi ambayo wanayafanya kwenye uwanja wa mazoezi. Machi 30 Yanga inatarajiwa kukabiliana na Mamelodi Sundowns mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo wao uliopita kwenye ligi Yanga…