
TAIFA STARS KAMILI KUIKABILI MOROCCO KUWANIA KUFUZU KOMBE LA DUNIA
HEMED Morocco, Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya taifa ya Morocco ambao unatarajiwa kuchezwa leo Machi 25 2025 kwa wababe hao kuwania ushindi ndani ya uwanja. Morocco amebainisha kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa kwenye mchezo huo ila wapo…