SIMBA KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo kwenye mpango wa kukamilisha usajili wa mshambuliaji ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba ni namba tatu kwenye Ngao ya Jamii 2024/25 imeshuhudia safu ya ushambuliaji ikifunga bao moja pekee na mtupiaji ni kiungo Saleh Karabaki ilikuwa dakika ya 10…