
AZAM FC NA YANGA KWENYE KESI NZITO
WABABE ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam FC wapo kwenye kesi nyingine nzito ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mmoja kupambania kutimiza malengo ndani ya uwanja
WABABE ndani ya Ligi Kuu Bara, Yanga na Azam FC wapo kwenye kesi nyingine nzito ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kila mmoja kupambania kutimiza malengo ndani ya uwanja
MWAMBA Prince Dube anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba ambao wanahitaji kuipata saini yake kwa ajili ya kuiboresha safu ya ushambuliaji ya timu hiyo. Ikumbukwe kwamba ikiwa Simba watapata saini ya nyota hiyo kuna wachezaji watakaopewa mkono wa asante kwenye upande wa ushambuliaji.
BAADA ya Hemed Morocco kutangaza orodha ya wachezaji watakaokuwa katika timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, safari imeanza kwa ajili ya kuelekea Azerbaijan ambapo wanatarajiwa kucheza mechi mbili za kirafiki. Tayari kikosi cha Taifa Stars kimewasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Istanbul, Uturuki muda wowote kitakwe pipa kuelekea Baku, Azerbaijan kwenye mashindano ya FIFA…
WASHINDI wa tuzo ndani ya Ligi Kuu Bara inayodhaminiwa na Beki ya Taifa NBC kwa Februari wamekabidhiwa tuzo zao huku makubwa yakiahidiwa. Yote hayo yalifanyika Machi 17 2024 ambapo NBC ilikabidhi zawadi ya pesa na tuzo kwa kocha bora wa ligi hiyo wa mwezi Februari. Ni Miguel Gamond kutoka Klabu ya Yanga alitwaa tuzo ya…
Joker Ice Frenzy Epic Strike ni sloti iliyopo kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet ina nguzo tano zilizopangwa kwenye mistari mitatu yenye njia 20 za malipo. Ili kupata ushindi wowote, ni lazima kupata alama tatu au zaidi kwenye mstari wa malipo. Mtirirko wowote wa ushindi, isipokuwa wale wenye alama za sketi na bonasi za kasino…
MSIMU MPYA MAMBO MAPYA! Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako ewe msomaji ambapo kwa kununua GAZETI LA CHAMPIONI, utapata fursa ya kuzawadiwa jezi mpya ya Simba au Yanga za msimu wa 2023/2024, pindi ununuapo gazeti letu kupitia Global App. Soma Gazeti…
LEGEND kwenye masuala ya uandishi Bongo katika habari za michezo Saleh Ally ameweka wazi kwamba Simba wanapaswa wasifurahie kupangwa na Al Ahly hatua ya robo fainali bali wafanye mipango makini kuimaliza mechi Uwanja wa Mkapa kutinga hatua ya nusu fainali
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamekomba pointi tatu mazima kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Azam FC 2 -1 Yanga. Mabao ya yamefungwa na Feisal Salum dakika ya 51 na Gibril Sillah dakika ya 19 kwa Azam ni…
UONGOZI wa Simba umebainisha kuwa mpango mkubwa kwa sasa ni kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Al Ahly ya Misri. Timu hiyo imetinga hatua hiyo ikiwa nafasi ya pili kwenye kundi B na pointi zake ni 9 inatarajiwa kuanza kwenye mchezo wa kwanza nyumbani, Uwanja wa Mkapa….
Unajua kuwa leo hii ni siku nzuri ya wewe kutoboa endapo utabashiri na Meridianbet?. Tengeneza jamvi lako la maana lenye ODDS za kutosha na uweke pesa unayoitaka. LALIGA kurindima leo hii ambapo mapema tuu majira ya saa 10:00 jioni Sevilla atakiwasha dhidi ya Celta Vigo huku mara ya mwisho kukutana walitoshan nguvu. Mwenyeji kapewa 1.90…
WAKATI wakitarajiwa kukutana Uwanja wa Mkapa kwenye msako wa pointi tatu muhimu mkali wa Mzizizma Dabi ni Aziz KI. Aziz KI kahusika kwenye mabao 19 kati ya 48 yaliyofungwa na Yanga akiwa kafunga 13 na kutengeneza pasi za mabao 6 msimu wa 2023/24 kwenye ligi. Ni yeye mzunguko wa kwanza dhidi ya Azam FC alifunga…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC mkali wao wa kucheka na nyavu ni Feisal Salum akiwa kafunga jumla ya mabao 12 kati 45 yaliyofungwa na timu hiyo iliyo nafasi ya tatu na pointi 44 baada ya kucheza mechi 20. Yusuph Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC ameweka wazi kuwa maandalizi yamekamilika kuelekea mchezo wao dhidi ya…
KAZI imeanza kwa kocha mpya wa Singida Fountain Gate Jamhuri Kihwelo (Julio) kwenye mchezo wa kwanza kukaa benchi ameanza kwa ushindi na kukomba pointi tatu muhimu. Ikumbukwe kwamba Julio alitambulishwa kuifundisha timu hiyo Machi 13 2024 na kupewa ajenda 10 muhimu ambazo ni mechi za ligi 10, ya kwanza imekamilikabado kete 9 mkononi. Singida Fountain…
CLATOUS Chama nyota wa Simba ameweka waz kuwa ushindani ni mkubwa ndani ya mechi ambazo wanacheza huku kikubwa ikiwa ni kupata ushindi na kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wana kazi ya kutafuta matokeo dhidi ya Al Ahly ya Misri
UKIWEKA kando jina la Khalid Aucho ambaye kwa sasa anapata matibabu baada ya kuumia mwamba mpya anayetembeza mikato ñdani ya Yanga Joseph GUEDE. Mchezo dhidi ya Geita Gold Machi 14 alicheza faulo nne dakika ya 36, 53, 56 na 72 alikomba dakika 80 nafasi yake ilichukuliwa na Clement Mzize aliyepiga shuti lililolenga lango dakika ya…
Kampuni ya Meridianbet awamu hii wamefika mwenge jijini Dar-es-salaam katika Zahanati ya Mlalakua na kufanikiwa kutoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka katika Zahanati hiyo. Kurudisha kwenye jamii yake iliyowazunguka ni kawaida kwa Meridianbet na leo wamegeukia moja ya Zahanati zinazopatikana katika eneo la Mwenge inayofahamika kama Mlalakuwa wakitoa msaada wa vifaa vya kutunza takataka…
MZAWA Wazir Junior anayetimiza majukumu yake ndani ya KMC wakusanya mapato ameandika rekodi yake kwa kuwa na mabao mengi ndani ya ligi. Junior amefikisha jumla ya mabao 50 aliyofunga kwenye Ligi Kuu tangu aanze kucheza soka la kulipwa. Junior amefunga mabao huku akiwa amecheza jumla ya mechi 77 kwenye Ligi Kuu tangu akiwa na Toto…