
PRINCE DUBE AFUNGUKA KWENDA YANGA? – “BADO NITAENDELEA KUBAKI LIGI KUU”
Mshambuliaji Prince Dube amefunguka kupitia Global TV kuwa msimu ujao 2024/5 atacheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara japo hajasema zaidi ni klabu gani atakayotumikia.
Mshambuliaji Prince Dube amefunguka kupitia Global TV kuwa msimu ujao 2024/5 atacheza katika Ligi Kuu Tanzania Bara japo hajasema zaidi ni klabu gani atakayotumikia.
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Azam FC, Feisal Salum, maarufu kama Fei Toto anaingia kwenye orodha ya nyota waliofunga hat trick mapema ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2023/24. Huku mwamba Aziz Ki wa Yanga akiingia kwenye rekodi ya nyota aliyefunga hat trick nyingi ambazo ni mbili. Mbali na Fei kuwa mfungaji wa hat trick…
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa utafanya usajili wa kishindo katika dirisha kubwa la usajili ambalo limefunguliwa Juni 15 2024. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Miguel Gamondi ina mpago wa kuongeza washambuliaji pamoja na mabeki katika kikosi kwa msimu ujao. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 wataipeperusha…
Shinda mpaka mara 800 kwa dau lako unapocheza kasino, mchezo wa KARATA maarufu duniani, unaitwa Magic Poker unapatikana Meridianbet kasino ya Mtandaoni. Jisajili ushinde. Magic Poker ni mchezo mpya wa poker kutoka kasino ya mtandaoni ya meridianbet, uliotengenezwa na kampuni ya Wazdan Casino. Odds kubwa zitokanazo na kupata mikono mizuri ya poker na bonasi maalum…
Uhispania imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Mataifa Ulaya EURO 2024 kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya Italia katika dimba la Veltins Arena (Gelsenkirchen) kwenye mchezo wa raundi ya pili wa kundi B FT: SPAIN ?? 1-0 ?? ITALY ⚽ Calafiori (og) 55’ ?? Uhispania — mechi 2 — pointi 6 ?? Italia…
Baada ya utambulisho wa Lameck Lawi kama mchezaji mpya wa klabu ya Simba, Uongozi wa Coastal Union kupitia kwa Afisa Habari wake Abbas El Sabri umefunguka kwamba hautambui utambulisho huo na kubainisha kwamba hizo ni taarifa za kufurahisha na kuchekesha za mitandaoni. “Siku hizi mitandaoni kuna mambo mengi sana wakati mwingine kuna mambo ya kufurahisha…
Klabu ya Simba Sc imetangaza kumsajili beki wa kati Lameck Lawi (18) kutoka Coastal Union baada ya klabu hiyo kufikia dau linalotakiwa na Coastal Union kwa ajili ya kumuachia Lawi amekuwa akiwindwa na Simba kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho huku kukiwa na taarifa kuwa Henock Inonga yupo njiani kuondoka klabuni hapo.
Klabu ya Pamba Jiji Fc imethibitisha kuachana na wachezaji wote pamoja na benchi lote la ufundi ambao waliipandisha timu daraja kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kumalizika kwa mikataba Yao klabuni hapo. Pamba Jiji FC ambayo imepanda daraja kuja Ligi Kuu ya NBC Tanzania bara msimu ujao ipo kwenye mchakato wa kutengeneza timu mpya kwaajili ya…
KONDE Boy ambaye alirejea kwa mara nyingine ndani ya Simba ni rasmi hatakuwa ndani ya kikosi hico akiungana na nyota wengine walioanza kukutana na Thank You. Ni Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye hakuwa na nafasi kikosi cha kwanza ndani ya Simba kitaifa na kimataifa Juni 19 2024 rasmi uongozi wa Simba ulibainisha kwamba hataongezewa…
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo katika hatua za mwisho na kiungo wake mshambuliaji, Mghana Augustine Okrah ya kusitisha kusitisha mkataba au kumtoa kwa mkopo ndani au nje ya nchi mwishoni mwa msimu huu. Kiungo huyo alikuwepo katika kikosi cha Simba, katika msimu uliopita kabla ya kuomba mkataba wake uvunjwe ili aende akatafute changamoto nyingine mpya nyumbani…
Unaweza kupiga mkwanja na Meridianbet leo hii ambapo wachezaji wakali wapo uwanjani leo, huku Uingereza, kule Itali weka dau lako sasa ubashiri na uibuke bingwa sasa. Watoto wa Mfalme, England watakuwa na kibarua cha kuwakabili Denmark katika dimba la Deutsche Bank Park huku mechi ya mwisho kukutana ikiwa ni kwenye EURO 2020 na Southgate na…
Promosheni ya Shindano la Expanse kupitia Kasino ya Mtandaoni Meridianbet, bado inaendelea na una weza kushinda mgao wako wa Tsh Milioni 2,500,000/=, sharti ni moja tu kuchezo mmchezo wowote wa Expanse iliyopo Meridianebet Kasino. Jisajili Meridianbet kuwa sehemu ya washindi. Michezo ya Kasino inaweza kukufanya uwe tajiri, ambapo Meridianbet watatoa bonasi za kasino kwa washindi…
INATAJWA kwamba Simba ipo kwenye mpango wa kumalizana na beki wa kazi kutoka Coastal Union Lamek Lawi kwa ajili ya kumpa dili la kuitumikia timu hiyo msimu wa 2024/25.
Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited. Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana na wajumbe wengine waliochaguliwa kuiwakilisha Simba Sports Club katika bodi ya Wakurugenzi, sambamba na wajumbe…
NYOTA wa Simba kwa msimu wa 2023/24 ambaye alikuwa ingizo jipya kwenye kikosi hicho ndo basi tena kwa msimu wa 2024/25 hatakuwa kwenye uzi wa nyekundu nyeupe. Ni Shaban Chilunda amekutana na Thank You kutoka kwa timu hiyo ambayo ipo kwenye maboresho kuelekea msimu mpya baada ya kugotea nafasi ya tatu kwenye Ligi Kuu Bara…
Kasino Imetawaliwa na michezo mingi, kuna mchezo wa Roulette ambao Dkt Jerecki ndiye muanzilishi wa mchezo huo wa kasino ya mtandaoni, ambapo yeye binafsi alikuwa akifika kwenye jumba la kasino majokeri wenzake wanamkimbia kwa kuogopa kupunwa pesa zao. Jisajili Meridianbet ili na wewe uanze kuweka heshima kwenye kasino. Dkt Jerecki alifariki akiwa na miaka 80…
MWAMBA Aziz Ki ni mtambo wa kuvunja rekodi ndani ya kikosi cha Yanga kutokana na kasi yake kuwa kwenye mwendelezo bora wakati wote kwenye mechi za Ligi Kuu Bara. Ikumbukwe kwamba aliibuka Yanga akitokea ASEC Mimosas ya Ivory Coast msimu wa 2022/23 ambapo alikuwa akitajwa pia kuwaniwa na Simba inayonolewa na Juma Mgunda. Ki aliyetambulishwa…