MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO WA ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO WA ukurasa wa mbele gazeti la CHAMPIONI JUMAMOSI
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kuwakabili wapinzani wao ASEC Mimosas kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba watakosa huduma ya nyota wao wawili. Kwa mujibu wa Kaimu Kocha Mkuu wa Simba, Daniel Cadena ameweka wazi kuwa maandalizi yapo vizuri isipokuwa kuna baadhi ya wachezaji ambao wanaweza kukosekana kwenye mchezo huo. Ni Uwanja wa Mkapa,…
Ligi ya Mabingwa Afrika inaanza leo kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti Algeria, na Misri kutawaka sana kwa michezo miwili hatari, Yanga waliopo kwenye kiwango bora sana kwa misimu miwili wakiwa wamecheza mpaka fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kupoteza dhidi ya USM Alger. Jeshi la jangwani kutoka Tanzania litaingia uwanja wa vita kuvaana na…
MOJA ya timu zetu zinazoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga ipo nchini Algeria kwa ajili ya kuwavaa wababe wan chi hiyo, CR Belouizdad. Tunakifahamu kiwango cha timu za Algeria na namna ambavyo wamekuwa wakifanya vema huko nyuma. Hapa katikati timu zao zilionekana kupoteza mwelekeo na kuwaacha Misri na Morocco kutawala kwa muda mrefu. Kwa sasa,…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi wanahitaji kupata pointi tatu za Waarabu wa Algeria, CR Belouizdad licha ya kuwa ugenini. Timu hiyo inakibarua cha kuanza kusaka ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi leo Novemba 24 kisha. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 2 usiku kwa saa za Algeria huku kwa Bongo ikiwa ni…
DANIEL Cadena, Kaimu Kocha Mkuu wa Simba amesema akili za wachezaji zipo tofauti kabisa na michezo miwili iliyopita. Simba Novemba 25 ina kibarua çha kusaka ushindi dhidi ya ASEC Mimosas ikiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Mechi mbili za ligi iliambulia pointi moja na kupoteza tano kwenye msako wa pointi…
KLABU ya Ihefu ikiwa ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo iliacha pointi tatu baada ya dakika 90 kukamilika ubao uliposoma Namungo 2-0 Ihefu. Katika mchezo huo Fikirini Bakari kipa wa Ihefu aliokoa mkwaju wa penalti dakika ya tatu Novemba 23. Keneth Kunambi alionyeshwa kadi nyekundu ya mapema zaidi dakika ya pili…
BAADA ya taarifa kueleza kuwa Shirikisho la Soka la kimataifa (FIFA) limeifungia kusajili Klabu ya Simba kutokana na madai ya Klabu ya Teungueth ya Senagal kuhusu malipo ya mchezaji Pape Sakho uongozi wa timu hiyo umekiri kufanya makosa katika kukamilisha mchakato huo. Ikumbukwe kwamba hivi karibuni rungu la namna hiyo liliwakumba Singida Fountain Gate na…
HAWA wetu, kocha Simba aifanyia umafia ASEC Mimosas ndani ya Championi Ijumaa
KIMATAIFA kazi inakwenda kuanza kwa wawakilishi wa Tanzania Simba na Yanga kufanya kweli katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Muda ni sasa kwa wachezaji kufanya kweli katika mechi zote za nyumbani na ugenini. Katika hatua ya makundi ni msako wa pointi tatu hivyo hesabu za kufikia hatua ya robo fainali zinaanza kupangwa sasa. Ni muda wa…
Nyota wa Soka Lionel Messi huenda akaongeza rekodi nyingine kwenye maisha yake baada ya kutanganzwa kwa mnada wa seti ya jezi sita alizotumia kwenye Kombe la Dunia mwaka 2022 huko Qatar, ambao kwa mujibu wa Sotheby utafunguliwa November 30, 2023 hadi December 14 Jijini Newyork-Marekani. Ni muda wa kutengeneza pesa ukiwa na Meridianbet, suka jamvi…
Morocco moja kati ya timu bora kabisa Afrika kwa sasa ikiwa inashika nafasi ya 13 kwa ubora duniani huku Tanzania kidunia inashika nafasi ya 121. Mchezo wa jana kufuzu kombe la dunia ulikuwa ni mechi nzuri ambayo ilivutia kuitazama. Meridianbet mechi zote za kufuzu kombe la dunia na kimataifa zina odds kubwa, bashiri bila bando kwa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa kimataifa wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas nyota wa Simba wamepewa zigo zito kuhakikisha wanapata matokeo chanya kwenye mchezo huo. Ipo wazi kuwa katika mechi mbili zilizopita za ligi wachezaji wa Simba walipata matokeo yenye maumivu. Katika mchezo wa Kariakoo Dabi Novemba 5 ubao ulisoma Simba 1-5 Yanga…
YUSUPH Dabo, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wanafanyia kazi makosa ambayo yalitokea kwenye mechi zilizopita ili kupata matokeo kwenye mechi zijazo. Novemba 24 Azam FC inatarajiwa kuwakabirisha Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa ligi utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex. Ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKU Novemba 19 ikiwa ni maandalizi kwa mechi zijazo…
GAMONDI apita njia za Nabi, mastaa Simba wajiapiza CAF
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa kazi yao kubwa ni kupata ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas. Mchezo huo wa hatua ya makundi unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Novemba 25 2023. “Tunakazi moja tu ya kumnyoa ASEC Mimosas, tunatambua wapinzani wetu wataleta…
MATUMAINI ya mashabiki wa Tanzania ni kuona kwamba wachezaji wanapata matokeo mazuri. Ipo hivyo hata wapambanaji wenyewe wanapoingia kwenye mapambano malengo ni kushinda. Mwisho matokeo ya mpira yanaptikana baada ya dakika 90. Kuna atakayeshinda na atakayeshindwa wakati mwingine inatokea wote wanatoshana nguvu kwenye mchezo husika. Kwa kilichotokea kwa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars…