
PSG YASHINDA MBIO YA KUWANIA SAINI YA KIUNGO JOAO NEVES BAADA YA KUKAMILISHA DILI
Klabu ya PSG imeshinda mbio ya kuwania saini ya kiungo Joao Neves baada ya kukamilisha dili hilo kwa dau la Euro milioni 70 akitokea Benfica ya Ureno. Neves (19) raia wa Ureno amesaini mkataba wa miaka mitano. Baada ya kuwika na miamba hiyo ya Ureno msimu uliopita Manchester United na PSG walijikuta kwenye vita kali…