
HIVI NDIVYO VITA ILIMALIZWA KWA AZAM FC NA SIMBA
VITA ile iliyokuwa ikisaka mshindi mmoja ndani ya Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2023/24 imebaki gumzo baada ya kugota mwisho na mshindi kupatikana. Kwenye mechi 30 ambazo ni dakika 2,700 kila kona walikamatana jambo ambalo liliongeza ushindani ndani ya uwanja kwa wababe hao wawili Azam FC inayonolewa na Kocha Mkuu Yusuph Dabo na Simba…