
MWAMBA FEI TOTO ANASTAHILI TUZO YAKE
FEISAL Salum anaingia kwenye orodha ya nyota waliofanya kazi kubwa kwenye kutimiza majukumu yao ndani ya uwanja akiwa ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Bruno Ferry msimu wa 2023/24. Kwa mujibu wa mchambuzi wa mpira Bongo Mohamed Mohamed maarufu kama Dr Mo amebainisha kuwa kiungo huyo anastahili tuzo yake binafsi kutokana na jitihada kubwa…