SIMBA YAIWINDA SAINI YA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAZI

INAELEZWA kuwa Simba ipo kwenye mazungumzo ya kuipata saini ya mshambuliaji wa Ihefu FC ambayo kwa sasa inaitwa Singida Black Stars, Ismail Mgunda. Nyota huyo Mgunda anayewaniwa vikali na Red Devils ya nchini Ghana ambayo inahitaji saini yake akapate changamoto mpya. Mgunda ndiye alikuwa anaunda safu nzuri ya ushambuliaji pamoja na Elvis Rupia katika kikosi…

Read More

LEO KITAWAKA AFRIKA MPAKA KULE ULAYA, PIGA PESA HAPA, TANZANIA USO KWA USO DHIDI YA ZAMBIA

Meridianbet wanakuuliza kuwa kama sio kupiga pesa leo utapiga lini?. Leo hii kuna mechi nyingi hapa Afrika mpaka kule Ulaya. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako utengeneze jamvi lako na ubashiri kijanja hapa. Rwanda atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Lesotho huku timu hizi zikiwa zimefatana kwenye msimamo. Mwenyeji anashika nafasi ya 2…

Read More

PROFESA JANABI AZIGEUKIA USAJILI YANGA, SIMBA

MKURUGENZI Mtendaji wa Hospita ya Taifa ya Muhimbili, Profesa, Mohamed Janabi amezigeukia Yanga, Simba, Azam FC na Coastal Union na kuzishauri kuzingatia zaidi vipimo makini kwa wachezaji wapya watakaowasajili msimu wa 2023/24. Kauli hiyo ameitoa leo wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uwezo wa Hospital ya Muhimbili- Mloganzila, katika tukio la kuagana na mchezaji…

Read More

CHEZA SHINDANO LA EXPANSE KASINO! MAMILIONI YANAKUSUBIRI

Meridianbet wanaendeleza ubabe wao, na leo nakuletea ile Promosheni pendwa ya kujichukulia Maokoto, Shindano la Expanse ambapo ukicheza michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka EXPANSE utajiweka kwenye nafasi ya kushinda Mamilioni leo. Jisajili sasa kuwa moja ya washindi. Shindano la Expanse Meridianbet litatoa zawadi na bonasi za kasino kwa washindi 40 pekee, ambao watakuwa na…

Read More

Si Rahisi Kukosa Pesa Ukibashiri na Meridianbet Mechi za EURO

Mbilinge mbilinge za michuano ya EURO zimepamba moto haswa ambapo timu karibia zote zimejiandaa kunyakua taji hili ambalo linaanza kupambaniwa Ijumaa hii. Nani kuchukua kombe hili?. Tengeneza jamvi lako na Meridianbet sasa.   TIMU ZINAZOPEWA NAFASI YA KUTWAA EURO 2024 Michuano ya EURO inatarajiwa kuanza Ijumaa hii hapa na ukiingia Meridianbet utakutana na “EURO 2024…

Read More

SIMBA YAKAMATIA REKODI HII BONGO

LICHA ya kugotea nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu Bara na kusepa na tiketi ya kushiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiungana na Coastal Union ya Tanga. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda ambaye funga kazi yake ilikuwa Mei 28 Uwanja wa Mkapa aliposhuhudia ubao ukisoma Simba 2-0 JKT Tanzania mabao yakifungwa…

Read More

BAJETI YA YANGA MSIMU UJAO NI BILIONI 24.5

Mapato ya Yanga Msimu 2023/2024 Udhamini na haki za matangazao bilioni 10.19 Mapato mlangoni bilioni 1 Ada za Wanachama milioni 613 Zawadi za ushindi bilioni 3.9 Mapato mengine bilioni 5 Jumla ya mapato ni Bilioni 21 Bajeti ya Msimu ujao ni Bilioni 24.5 ambapo imeongezeka asilimia kumi tofauti na Msimu uliopita ambayo ni Bilioni 22.

Read More

MINI POWER ROULETTE KASINO, USHINDI 100% YA DAU LAKO

Ukiwa na buku tu Meridianbet kasino ya mtandaoni inakuongezea mara dufu Zaidi, kupitia sloti ya Mini Power Roulette inakuhakikishia ushindi wa dau lako mara 20, 50 hadi 100 cha kufanya ingia hapa kufukuzia ubingwa wako. Ukiachilia mbali bonasi, ofa, odds kubwa na promosheni kedekede, kasino ya mtandaoni inakuletea mchezo wa Mini Power Roulette uliotengenezwa na…

Read More

AZAM FC: TUPO KAMILI GADO

UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa upo kamili gado utapambana kufanya vizuri kitaifa na kimataifa msimu wa 2024/25 ndani ya uwanja kwa kufanya maandalizi mazuri. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Yusuph Dabo imemaliza ligi ikiwa nafasi ya pili na pointi 69 sawa na Simba iliyo nafasi ya tatu baada ya ushindani mkubwa kwa…

Read More

MWAMBA SAIDO ATAJWA COASTAL UNION

MKALI wa mabao ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 Saido Ntibanzokiza anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabosi wa Coastal Union ya Tanga. Nyota huyo akiwa na kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 ni mabao 11 alifunga akiwa namba moja kwenye chati ya wafungaji wa Simba ambapo kinara ni Aziz Ki wa Yanga mwenye…

Read More