
VIDEO:YANGA WABAINISHA NAMNA WATAKAVYOIFUNGA SIMBA,KUVUNJA REKODI
OFISA Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli ameweka wazi kwamba wanakwenda kuvunja rekodi kwa msimu huu na kuelekea kwenye mchezo wao dhidi ya Simba, Aprili 30 wataifunga Simba na kuchukua pointi tatu muhimu.