
SENEGAL WAANZA KWA KICHAPO
KUTOKA Afrika Senegal ilikwama kupata ushindi kwenye mchezo wa hatua ya makundi ya Kombe la Dunia baada ya kupoteza mchezo wa kwanza. Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Al Thumama ulisoma Senegal 0-2 Uholanzi ambao walisepa na pointi tatu mazima. Bila Sadio Mane kwenye mchezo huo dakika 45 za awali Senegal walipambana…