Simba SC yatambia magoli mengi, kampeni inashika kasi
UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa wachezaji wa timu hiyo wataongeza kasi kwenye eneo la kufunga magoli kutokana na falsafa mpya ya mwalimu. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa mwalimu mpya Dimitar Pantev anapenda kuona timu inashambulia kwa kasi jambo litakalokuwa ni furaha kwa Wanasimba. Kwa sasa…