AS Roma, Lille, Celtic, FCSB na Fenerbahçe na Timu Zingine Zianzia Msimu Mpya wa Ulaya
Mashabiki wa soka barani Ulaya na duniani kote wanajiandaa kwa usiku wa burudani ya hali ya juu, wakati UEFA Europa League itakapowasha moto kwa mechi kadhaa kali na zenye mvuto wa kipekee. Na kwa wale wakubashiri, Meridianbet haikuachi nyuma. Odds ni kubwa sana kwa ajili yako. Katika dimba la Celtic Park, wenyeji Celtic watachuana na…