Matokeo EPL: Crystal Palace 2-1 Liverpool, Chelsea Apoteza, Man City 5-1 Burnley: Haaland afunga double

Mabingwa watetezi, Liverpool, wamepoteza 2-1 dhidi ya Crystal Palace katika dimba la Selhurst Park, huku Chelsea ikishindwa 3-1 nyumbani Stamford Bridge. Kwingineko, Erling Haaland amefunga magoli mawili wakati Manchester City ikiibamiza Burnley 5-1 kwenye dimba la Etihad. Matokeo kamili: Chelsea 1-3 Brighton 24’ Enzo Fernández ⚽ 77’ Danny Welbeck ⚽ 90+2’ De Cuyper ⚽ 90+10’…

Read More

YANGA SC VS WILIETE KIKOSI HIKI HAPA

KIKOSI cha Yanga SC vs Wiliete, Uwanja wa Mkapa Septemba 27 2025 Djigui Diarra, Kibwana Shomari, Ladack Boka,Dickson Job, Ibrahim Bacca ,Andambilwe, Maxi Nzengeli, Duke Abuya, Prince Dube, Mudathir Yahya na Pacome Wachezaji wa akiba Aboutwalib Mshery, Assinki, Farid Mussa, Conte,Shekhan, Kouma,Chikola, Edmund John, Boyeli.

Read More

Wikiendi ya EPL, Mechi Kali, Na Fursa ya Ushindi Meridianbet

Mashabiki wa soka wanakaribishwa kwenye burudani ya kipekee wikiendi hii, ambapo vita ya alama tatu inashika kasi kwenye viwanja mbalimbali vya ligi kuu Uingereza. Kwa wale wanaotafuta faida kupitia bashiri, huu ndio wakati wa kuingia Meridianbet na kusuka mkeka wenye ushindi kupitia odds kabambe zinazopatikana mtandaoni. Gtech Community Stadium itashuhudia mchezo wa mapema. Brentford watakuwa…

Read More

Yanga SC vs Wiliete SC ni Jumamosi hii kwa Mkapa

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika hatua ya awali wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi  ya Wiliete SC Jumamosi hii. Yanga SC itaingia uwajani ikiwa na faida ya ushindi wa mabao 3-0 waliyopata katika mchezo wa ugenini mabao yakifungwa na Aziz Andambwile aliyefungua ukurasa katika anga la kimataifa, Edmund John na Prince Dube. Ali…

Read More