Slotopia Imeingia na Balaa Lake, Usikose Kuokota Kupitia Meridianbet

Katika harakati za kuendelea kuimarisha burudani kwa wateja wake, Meridianbet kwa mara nyingine imeibuka na habari njema kwa wapenda michezo ya kasino mtandaoni. Kupitia jukwaa lake la kisasa, Meridianbet sasa imeanzisha ushirikiano mpya na mtoa huduma wa michezo anayefahamika kama Slotopia, jina jipya lakini lenye maudhui mazito ya ubunifu na ushindi mkubwa. Slotopia si mtoa…

Read More

Simba SC yakataa uhuni kwenye mpira wa miguu

UONGOZI wa Simba SC umeweka wazi kuwa haukubaliani na vitendo vya kihuni kwenye mpira wa miguu kwa kuwa unarudisha nyuma maendeleo ya wachezaji na timu kiujumla. Simba SC inapeperusha bendera katika Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa hatua ya pili inatarajiwa kucheza mchezo wake wa kimataifa dhidi ya Nsiginzini Hotspurs Oktoba 19 2025 pia inaongoza ligi…

Read More

YANGA SC hesabu zao kimataifa

ALI Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga SC ameweka wazi kuwa mpango mkubwa ni kuona wanapata matokeo mazuri kwenye mechi zao mbili za kimataifa Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz kwa sasa ipo kwenye maandalizi kuelekea kwenye mchezo ujao wa hatua ya pili Ligi ya Mabingwa Afrika. Itakuwa dhidi ya…

Read More

Fountain Gate waja na Tumejipata, Tunaanza na Mungu

FOUNTAIN Gate inayotumia Uwanja wa Tanzanite Kwaraa kwa mechi za nyumbani inakuja na tamasha kubwa ambalo linatarajiwa kufanyika Oktoba 12 2025 ikiwa ni utambulisho kwa benchi la ufundi na wachezaji. Ikumbukwe kwamba tayari Fountain Gate imezindua uzi mpya kwa msimu wa 2025/26 Oktoba 10 2025 katika mechi za mwanzo za ligi ilianza kwa kupoteza dhidi…

Read More

Kampeni ya Simba SC tokomeza jezi feki yaendelea

KAMPENI ya Simba SC ambayo ina lengo la kutokomeza jezi feki inaendelea ambapo Wananchi wamezidi kupewa elimu kuhusu faida za kununua jezi Original. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC ameweka wazi kuwa kununua jezi Original ni jambo ambalo kila Mtanzania anapaswa kujivunia. Oktoba 9 uongozi wa Simba SC uliweka kambi…

Read More

Jumamosi ya Moto Ulaya! Vigogo wa Soka Warudi Uwanjani Kufukuzia Kombe la Dunia 2026

Ni Jumamosi ya kishua kwa wapenzi wa soka duniani kote. Viwanja mbalimbali barani Ulaya vinawaka moto huku vigogo kama Ureno, Uhispania, Italia, Hungary, Norway na Serbia wakirudi kazini kuwania tiketi ya kufuzu Kombe la Dunia 2026. Na kama kawaida, Meridianbet ndiyo sehemu ya kushika mpunga wako wa maana kupitia ODDS za kifahari zilizowekwa leo. Bulgaria…

Read More