Yanga SC vs Silver Strikers CAF Champions League, mashabiki waachiwa mechi
KUELEKEA kwenye mchezo wa marudiano CAF Champions League, Oktoba 25 2025 uongozi wa Yanga SC umeweka wazi kuwa mechi hiyo itakuwa mikononi mwa mashabiki baada ya kuomba wapewe hilo jukumu. Hiyo imetokana na mashabiki wengi kufunga safari kuelekea nchini Malawi kuishangilia timu hiyo Oktoba 18, 2025 kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Bingu matokeo…