Yanga SC hao Algeria mapema CAF Champions League

MSAFARA wa kikosi cha Yanga SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Pedro unatarajiwa kuanza safari mapema leo Novemba 24,2025 kuelekea nchini Algeria. Yanga SC baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya AS FAR Rabat ina kibarua kingine kwenye kundi B Novemba 28,2025 mchezo wa kwanza ugenini katika hatua ya makundi. Ipo wazi kuwa ni…

Read More

Mourinho: “Sikubaliani na wachezaji wanaonisaliti” – awajia juu mastaa wa Benfica licha ya ushindi wa 2-0

Kocha wa Benfica, Jose Mourinho, ameibua mjadala mpya baada ya kutoa lawama kali kwa wachezaji wake licha ya timu yake kushinda 2-0 dhidi ya Atletico CP katika mchezo wa Kombe la Ureno hatua ya raundi ya nne. Benfica iliepuka fedheha dhidi ya timu hiyo ndogo kutoka daraja la tatu, lakini Mourinho – maarufu kwa matamshi…

Read More

Wanaowania Tuzo za TFF 2024/25 Wapo Hapa… Tuzo Kutolewa Desemba 5, 2025, The Super Dome, Dar

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limefahamisha wanaowania Tuzo za Msimu wa Ligi Kuu 2024/2025, huku tukitarajia watakaoibuka washindi rasmi Desemba 5, 2025 katika ukumbi wa The Super Dome, Dar es Salaam. Wanaowania Wakuu wa Tuzo za Ligi Kuu NBC: Mchezaji Bora: Dickson Job (Yanga), Pacome Zouzoua (Yanga), Maxi Nzengeli (Yanga), Jean Ahoua (Simba),…

Read More

Timu Zenye Injuries Nyingi Premier League 2025/26

Msimu huu wa Premier League, baadhi ya timu zinakabiliwa na changamoto kubwa ya majeraha yanayoathiri utendaji wao dimbani. Hizi ndizo timu zinazoongoza kwa idadi ya majeraha hadi sasa: 💎 Manchester City – 16 injuries 🚑 🐓 Tottenham Hotspur – 16 injuries 🚑 🧿 Chelsea – 14 injuries 🚑 🕊 Brighton & Hove Albion – 13…

Read More