Ukitaka Taarifa Zote za Michezo Ingia Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sportal Portal?, hili ni jukwaa ambalo Meridianbet hulitumia kwaajili ya kuwahabarisha, kuwaburudisha wapenzi wa michezo na Kasino kutoka sehemu mbalimbali huku lengo likiwa ni kuwafanya wapenzi na mashabiki wa soka kujua mambo mbalimbali yanayoendelea ya kimichezo, kasino, usajili, matokeo, na kupata fursa za kubashiri mechi mbalimbali. Kupitia Kampuni hii kubwa ya ubashiri Tanzania, Meridianbet…

Read More

Saudi Arabia Yajenga Uwanja Wa Mpira Angani – Una Vituo Vya Burudani Na Mazoezi…

Katika siku za hivi karibuni, Saudi Arabia imekuwa ikifanya juhudi kubwa kujiweka kwenye ramani ya dunia kama kiongozi katika maendeleo ya michezo, na mojawapo ya miradi mikubwa zaidi ni ujenzi wa uwanja wa mpira wa mawinguni, ambao unalenga kuwa kivutio cha kipekee katika sekta ya michezo duniani. Uwanja huu, unaojulikana kama Neom Sky Stadium au…

Read More