Hii hapa ratiba ya NBC Premier League Novemba 29,2025

MARA baada ya mwisho wa reli Kigoma Novemba 28 kutopatikana mbabe ndani ya dakika 90 kazi inatarajiwa kuendelea leo kwa wababe wengine uwanjani. Kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Lake Tanganyika Kigoma ubao ulisoma Mashujaa FC 0-0 Dodoma Jiji wababe hawa wakigawana pointi mojamoja. Pamba Jiji leo Novemba 29,2025 watashuka Uwanja wa Kirumba kusaka pointi tatu…

Read More

JS Kabyllie 0-0 Yanga SC, CAF Champions League

JS Kabyllie 0-0 Yanga SC ni matokeo ya mchezo wa CAF Champions League group stage Novemba 28,2025 kwa kundi B. Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Hocine Ait Ahmed, Ijumaa kwa wababe hao kuwa katika msako wa pointi tatu. Licha ya majaribio ambayo yalifanyika mara kwa mara kwa kila upande bado milango ilikuwa migumu kwa pande…

Read More

Azam FC kamili kimataifa

Kocha wa Azam, Florent Ibenge amesema kuwa hataki kuona makosa waliyoyafanya katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya AS Meniema ya DR Congo yakijirudia kwa Wydad Casablanca ya Morocco. Katika mchezo wa kwanza ugenini wawakilishi wa Tanzania kimataifa walipoteza pointi tatu muhimu kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa. Baada ya…

Read More

Taarifa, Odds Kubwa na Fursa za Ushindi Zinakungoja Kwenye Meridianbet Sport Portal

Meridianbet Sport Portal? Hili ni jukwaa kubwa kabisa ambalo kutokana na upana limekuja kwaajili ya kumrahisishia kazi mteja wa Meridianbet wakati wa kubashiri kwani hapa anapata taarifa zote za kimichezo na kasino kwa ujumla. Meridianbet Sport Portal ni kwaajili ya kumpa mteja wa Meridianbet uzoefu bora zaidi wa kubashiri, kutoa na kuweka pesa huku akiweza…

Read More

Meridianbet Yagusa Jamii: Yakabidhi Mashuka Mapya Hospitali Ya Ndumbwi

Meridianbet imeendelea kupanua wigo wa mchango wake kwa wananchi kwa kukabidhi mashuka mapya katika Hospitali ya Ndumbwi. Tukio hili ni hatua inayoakisi namna kampuni binafsi zinavyoweza kuwa nguvu ya faraja na suluhisho kwa changamoto za jamii. Wakati wa kukabidhi msaada huo, Afisa Habari wa Meridianbet, Nancy Ingram, alisisitiza kuwa dhamira ya kampuni yao si biashara…

Read More

Joshua Mutale kuanza tena?

JOSHUA Mutale ni chaguo la kwanza kwa Meneja Mkuu, Dmitar Pantev je ataanza tena mchezo ujao wa Ligi ya Mabingwa Afrika? Orodha ya wachezaji wa Simba SC waliopo kwenye msafara ulioelekea Mali kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Stade Malien Novemba 30,2025:- Makipa Yakoub Suleiman na Hussen Abel Mabeki Shomari Kapombe David…

Read More

Betway yatoa elimu ya kubashiri kwa uwajibikaji Barani Afrika

Betway imetoa wito kwa wachezaji wote kutafakari juu ya tabia zao za kubashiri na kukumbatia mtazamo mzuri wenye uwiano bora zaidi katika uchezaji. Betway imetoa wito huo katika mwezi wote wa Novemba ambapo imekuwa ikitoa elimu kuhusu kubashiri kwa uwajibikaji kupitia kampeni yenye kauli mbiu “Kubashiri kwa Uwajibikaji”. “Betway inathibitisha tena dhamira yake ya kuhimiza…

Read More