LIGI KUU BARA RATIBA

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Mei 16 ikiwa ni mzunguko wa pili wa lala salama kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ruvu Shooting yenye pointi 25 inatarajiwa kusaka ushindi mbele ya KMC yenye pointi 27 kibindoni. Tanzania Prisons yenye pointi 23 ina kibarua mbele ya Kagera Sugar yenye pointi 29 kibindoni….

Read More

FT:DODOMA JIJI 0-2 YANGA,UWANJA WA JAMHURI,DODOMA

WAKIWA Uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 Dodoma Jiji na kufanya waweze kusepa na pointi tatu. Ni mabao ya Dickosn Ambundo dk ya 11 na bao la pili lilifungwa na kipa wa Dodoma Jiji,Mohamed Yusuph dk ya 35 katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Zawad Mauya jamo lililomfanya ajifunge….

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili. Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine. Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu. Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri

Read More

DODOMA JIJI KAZINI LEO KUWAKABILI VINARA WA LIGI

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Mei 15,2022 inaendelea ambapo vinara Yanga wanatarajiwa kumenyana na Dodoma Jiji. Wakiwa na pointi 57, Yanga watamenyana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 28. Timu zote zimecheza mechi 23 hivyo utakuwa ni mchezo wao wa 24 ndani ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema…

Read More

CHEKI NYOTA WALIOKOSA PENALTI BONGO

LIKIWEKWA tuta,asilimia 98 wengi wanahesabu ngoma lazima ijae wavuni lakini kuna mastaa wengi ambao wamekwama kufanya hivyo kwenye uwanja. Kitete cha kutetema hakikuwa kwa Fiston Mayele tu msimu huu hata Meddie Kagere wa Simba alipata kitete cha kufunga. Rekodi zinaonyesha kwamba kitete cha penalti kipo kwa mastaa wa Simba ambao wamekosa penalti nyingi,hapa tunakuletea baadhi…

Read More

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho,Simba wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kuweza kushinda mchezo wao leo mbele ya Pamba ya Mwanza.  Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 Pamba baada ya dakika 90 za nguvu kukamilika kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni mabao ya Peter Banda dk 45,Kibu Dennis alitupia  dk…

Read More

JEMBE JIPYA YANGA LINASUBIRI MUDA TU

BEKI wa kushoto wa timu ya taifa ya Uganda, Mustafa Kiiza, ambaye amemalizana na Yanga, amewataja wachezaji Hamisi Kiiza na Khalid Aucho kuwa sababu ya yeye kushawishika kujiunga na klabu hiyo. Kiiza ambaye alikuwa akikipiga katika Klabu ya Montreal ya nchini Marekani, kwa sasa ni mali ya Yanga mara baada ya wakala wake kuthibitisha kuwa…

Read More

PAMBA YATAKA KUITIBULIA SIMBA

KOCHA Msaidizi wa Pamba, Yangoo Mamboleo amesema kuwa wanatambua mchezo wa leo utakuwa mgumu lakini wataingia kwa tahadhari ili kuweza kushinda. Pamba itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Simba ambao nao wanahitaji ushindi kwenye mchezo huo amao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. “Tupo tayari kwa ajili ya mchezo wetu na tunatambua kwamba ushindani…

Read More

SIMBA YABAKISHA DAKIKA 90 KUKUTANA NA YANGA

PABLO Franco,Kocha Mkuu wa Simba kwa sasa ana dakika 90 za kuweza kuamua kama ataweza kukutana na Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho. Baada ya kukamilisha kete yake mbele ya Kagera Sugar,Mei 11 na kushinda mabao 2-0 sasa kituo kinachofuata ni mbele ya Pamba mchezo wa Kombe la Shirikisho….

Read More

UBUTU WA VIGOGO BONGO DK 270,SIMBA,YANGA,AZAM

VIGOGO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa nyakati tofauti wote walipitia kwenye ubutu wa washambuliaji kwenye mechi tatu mfululizo ambazo ni dk 270 Ni mabingwa watetezi Simba chini ya Kocha Mkuu,Pablo Franco waliweza kucheza bila kufunga kwenye mechi tatu mfululizo sasa kisha ikawa kwa Azam FC imefika na sasa ni Yanga. Rekodi zinaonyesha Simba mechi…

Read More

MAYELE ATANGAZA HALI YA HATARI YANGA

MAKAMU Mwenyekiti wa Yanga, Frederick Mwakalebela, ameweka wazi kuwa licha ya kupoteza mkwaju wa penati katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons Jumatatu iliyopita, straika wao, Fiston Mayele hana presha yoyote na amejipanga kuwanyamazisha wakosoaji wake kwa kufunga mabao mengi zaidi kwenye michezo ijayo. Jumatatu wiki hii Yanga wakiwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es…

Read More

KOCHA NABI APIGA MKWARA KUHUSU UBINGWA

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mtunisia, Nasreddine Nabi, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia waache presha anajua jambo la kufanya ili kuweza kutwaa ubingwa wa ligi. Kauli hiyo ameitoa mara baada ya wapinzani wao Simba walio nafasi ya pili wakiwa na pointi 49 kupata matumaini ya kutetea ubingwa kufuatia Yanga kupata suluhu tatu mfululizo….

Read More