SIMBA HESABU ZAO KUTINGA FAINALI ZIPO HIVI
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuweza kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika hivyo watahakikisha wanashinda hatua ya robo fainali ili kuweza kutinga hatua ya nusu fainali kisha fainali ili kutwaa Kombe la Shirikisho Afrika. Ofisa Habari wa Simba,Ahmed Ally amesema kuwa benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu, Pablo Franco na Seleman…