SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA SHIRIKISHO
MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho,Simba wamefanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali baada ya kuweza kushinda mchezo wao leo mbele ya Pamba ya Mwanza. Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 4-0 Pamba baada ya dakika 90 za nguvu kukamilika kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Ni mabao ya Peter Banda dk 45,Kibu Dennis alitupia dk…