YANGA:SIMBA WALIJIPOTEZEA UBINGWA WENYEWE

MWINYI Zahera,Mkurugenzi wa Maendeleo ya Soka la Vijana ndani ya Yanga amesema kuwa Simba wamejipotezea ubingwa wa ligi weyewe baada ya kushindwa kuwafunga vinara wa ligi. Ni Yanga wanaongoza wakiwa na pointi 60 baada ya kucheza mechi 24 waliweza kufikisha pointi hizo baada ya ushindi mbele ya Dodoma Jiji kwa mabao 2-0 Uwanja wa Jamhuri,Dodoma….

Read More

FAINALI KUPIGWA ARUSHA,YANGA NA SIMBA MWANZA

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Simba wanatarajia kumenyana na Yanga kwenye mchezo wa hatua ya nusu fainali Mei 28. Yanga walikuwa wa kwanza kuweza kukata tiketi kwa ushindi mbele ya Geita Gold kisha Simba wakafuata kwa ushindi mbele ya Pamba kwenye mchezo wa nusu fainali ya pili. Mechi zote zilichezwa Uwanja wa Mkapa na…

Read More

AZAM FC WAANZA KUIWINDA SIMBA

ZAKARIA Thabit, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa kwa sasa wanafanya maandalizi kwa ajili ya mchezo wao ujao dhidi ya Simba. Azam FC inakumbuka kwamba kwenye mchezo wao uliopita dhidi ya Simba ilipoteza kwa kufungwa mabao 2-1 hivyo itakuwa kwenye kazi ya kusaka ushindi mbele ya wapinzani wao. “Tulitoka Mbeya ambapo mchezo wetu ule…

Read More

INONGA APEWA KAZI NYINGINE

BEKI wa kazi chafu ndani ya kikosi cha Simba, Henock Inonga amebebeshwa zigo jipya la kazi ndani ya kikosi hicho na benchi la ufundi chini ya Kocha Mkuu,Pablo Franco. Jukumu hilo jipya kwa sasa ni lile la kuweza kuichezesha timu na kugawa mipira kwa wachezaji wenzake kwenye mechi ambazo anacheza huku akiwa na kazi ya…

Read More

MAYELE:MABEKI WANATAKA NISIFUNGE

FISTON Mayele,mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabeki wengi kwa sasa wamekuwa wakimkamia ili asifunge kila anapocheza. Mayele msimu huu wa 2021/22 akiwa ndani ya kikosi cha Yanga amehusika kwenye mabao 15 kati ya 38. Ametupia mabao 12 na kutoa pasi mbili za mabao hajafunga kwenye mechi nne za ligi msimu huu na kumfanya awe sawa…

Read More

LIGI KUU BARA RATIBA

LIGI Kuu Bara inaendelea leo Mei 16 ikiwa ni mzunguko wa pili wa lala salama kwa timu kuwa kwenye msako wa pointi tatu muhimu uwanjani. Ruvu Shooting yenye pointi 25 inatarajiwa kusaka ushindi mbele ya KMC yenye pointi 27 kibindoni. Tanzania Prisons yenye pointi 23 ina kibarua mbele ya Kagera Sugar yenye pointi 29 kibindoni….

Read More

FT:DODOMA JIJI 0-2 YANGA,UWANJA WA JAMHURI,DODOMA

WAKIWA Uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 Dodoma Jiji na kufanya waweze kusepa na pointi tatu. Ni mabao ya Dickosn Ambundo dk ya 11 na bao la pili lilifungwa na kipa wa Dodoma Jiji,Mohamed Yusuph dk ya 35 katika harakati za kuokoa mpira uliopigwa na Zawad Mauya jamo lililomfanya ajifunge….

Read More

HII HAPA RATIBA YA LIGI KUU BARA

MOTO wa Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa timu kusaka ushindi ndani ya uwanja ikiwa ni mzunguko wa pili. Mbeya City watakuwa na kazi ya kuikabili Polisi Tanzania, Uwanja wa Sokoine. Mtibwa Sugar watakuwa na kibarua mbele ya Coastal Union, Uwanja wa Manungu. Dodoma Jiji itamenyana na Yanga, Uwanja wa Jamhuri

Read More

DODOMA JIJI KAZINI LEO KUWAKABILI VINARA WA LIGI

LIGI Kuu Tanzania Bara leo Mei 15,2022 inaendelea ambapo vinara Yanga wanatarajiwa kumenyana na Dodoma Jiji. Wakiwa na pointi 57, Yanga watamenyana na Dodoma Jiji iliyo nafasi ya 8 na pointi 28. Timu zote zimecheza mechi 23 hivyo utakuwa ni mchezo wao wa 24 ndani ya msimu wa 2021/22. Kocha Mkuu wa Yanga,Nasreddine Nabi amesema…

Read More

CHEKI NYOTA WALIOKOSA PENALTI BONGO

LIKIWEKWA tuta,asilimia 98 wengi wanahesabu ngoma lazima ijae wavuni lakini kuna mastaa wengi ambao wamekwama kufanya hivyo kwenye uwanja. Kitete cha kutetema hakikuwa kwa Fiston Mayele tu msimu huu hata Meddie Kagere wa Simba alipata kitete cha kufunga. Rekodi zinaonyesha kwamba kitete cha penalti kipo kwa mastaa wa Simba ambao wamekosa penalti nyingi,hapa tunakuletea baadhi…

Read More