
YANGA WAREJEA DAR NA POINTI ZA KUTOSHA
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Yanga wamerejea salama Dar baada ya kutoka kusaka pointi sita ugenini. Walianza mbele ya Coastal Union mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani Tanga na ubao ukasoma Coastal Union 0-2 Yanga. Mabao ya Fiston Mayele na Said Ntibanzokiza yalitosha kuipa pointi tatu mazima Yanga. Kituo kilichofuata ilikuwa mbele ya Polisi Tanzania, Januari…